Masilahi na mshahara wa Diwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masilahi na mshahara wa Diwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa kusoma, Apr 16, 2012.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Wakuu naombeni sana sana sana anayejua masilahi ya diwani kwa mwezi namaanisha posho na mshahara ni kiasi gani atupie hapa jamvini. Kuna watu wanafanya kazi za kuimarisha vyama vya upinzani huko vijijini sasa ni bora wapate moyo sio wote kuwaza kugombea ubunge na uraisi tu bali pia udiwani na ngazi nyingine za chini.

  Baraza la madiwani ni chombo mhimu cha maamuzi ktk halmashauri, manspaa au jiji hivyo ni vizuri kuanza kuwainspire vijana na wasomi waanzie siasa zao huko.

  NAWASILISHA
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hana mshahara ila ana posho kama 70000tsh
   
 3. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo ni sitting allowance tu au ndio everthing.
   
 4. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2014
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,321
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Watu walinikimbia kweli kweli
   
 5. kilambimkwidu

  kilambimkwidu JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2017
  Joined: Jul 21, 2017
  Messages: 2,456
  Likes Received: 1,904
  Trophy Points: 280
  Hii naitaftia majibu hadi leo sijapata aisee. Wajuzi tusaidieni....
   
 6. Gide MK

  Gide MK JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2017
  Joined: Oct 21, 2013
  Messages: 4,739
  Likes Received: 3,429
  Trophy Points: 280
  Kwa mwezi anapata 320000 na posho kwa kikao kimoja ni 120000
   
 7. Gyole

  Gyole JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2017
  Joined: Sep 20, 2013
  Messages: 1,777
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Posho tu wanapata
   
 8. C

  Churwaaa Member

  #8
  Oct 13, 2017
  Joined: Aug 5, 2017
  Messages: 39
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 25
  Wanalipwa mshahara 350,000 kila mwezi na posho ya Kikao ambayo ni 70,000. Juzi waliomba waongezewe zifike 800,000 kwa mwezi, Sizonje akawaambia haongezi asiyeweza aache hiyo kazi
   
Loading...