Rejea na kichwa cha habri hapo ju.
Leo katika pitapita zangu kule mitaa ya Kariakoo s nikajikuta natokea mtaa wa Livingstone baada ya kuangaza macho huku na huko nikakuta kibao kimeandikwa OMARY...
Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende...
Habari zenu wanajamii.
Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year).
Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up...
Wakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana.
Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji...
Ninaandika haya malalamiko kuhusu huduma ya uondoaji wa mizigo inayotolewa na SPEEDAF Tanzania. Kila siku, wateja wanakutana na changamoto kubwa katika mchakato wa kufanya clearance ya mizigo...
Nimeona kuwa Salum Mwalimu ndo atapeperusha bendera ya CHAUMMA kwenye nafasi ya Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama CHAUMMA itapata kura zaidi ya 10,000 nchi nzima mtakuja kuniambia...
Mi ninazo zijua
1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money
-Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma
2.Luku
Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent...
Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ?
Ni lugha ya maandishi, Sio...
Sala ya Bwana ni nini
Sala ya Bwana
Sala ya Bwana ni sala ambayo Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake, kabla ya kuondoka kwake. Na kwa kupitia sala ile, hakuwafundisha tu wanafunzi wake bali...
Kijana anaweza kukaa ndani siku nzima bila kutoka kwenda nje kujichanganya, tena sio nje tu hata humo humo ndani ya nyumba hatoki kujichanganya na wenzake.
Laptop na simu zimekuwa bei rahisi sana...
Utasikia mfia dini mmoja wa kiafrika akijigamba kuwa yeye ni mwana wa Yesu na Yesu ni Mungu wasiomwamini Yesu hawatauona ufalme wa Mungu/Mbinguni.
Je ni kweli wasiomwamini yesu siyo watu wa Mungu?
Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya
Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Habari ya Wokovu Iliyofichwa Kwenye Ukoo wa Mwanzo 5
Biblia si kitabu cha hadithi za zamani pekee ni kitabu cha mpango wa Mungu ulioandikwa kabla hata hatujazaliwa.
Kila mstari, kila jina...
Katika juhudi za kuimarisha upatikanaji wa elimu bora kwa wanafunzi nchini, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemteua Profesa Chrispina Lekule ambaye pia ni sista kuwa Makamu Mkuu wa...
NINI CHIMBUKO LA IBADA YA IJUMAA?
Ibada ya siku ya Ijumaa imeelezewa chanzo chake katika kitabu kilichoandikwa na Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu wa Ansaar, kwa jina:
"Historia ya Mtume Muhammad...
Habari wana jf
ANGALIZO.
UZI HUU HAUUSIANI NA DINI KABISA.
NI KWAAJILI YA WATU WANAOWEZA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI MAMBO.
Kila mtu amewai kusikia, kuona au ata kuhisi uwepo wa nguvu ya shetani...