Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata kama kuna changamoto ya milika haingii akilini geti lililo bize kuliko mageti yote kwa kupisha Watalii eti halina simu. Ukitaka kupiga simu ni hadi utafute simu za watu binafsi na kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo na Muhimbili (MOI) imetii agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuendelea kutoa huduma za kibingwa na kibobezi...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
"Kwenye kinyang'anyiro hakikisha hakuna mtoto wa waziri au aliyewahi kuwa waziri na kinyume chake" Kuna jamaa yangu hapa amenipa kibarua cha kumfuta machozi baada ya udiwani kwenda na maji 😭😭😭 !!!
0 Reactions
2 Replies
328 Views
Wanasema "Mali bila daftari huisha bila habari!". Leo ngojeni niwachane watanzania wenzangu acheni kukaa kizwazwa!, kuna watu mmekaa humu kufuatilia nini kinajili nakusubiri upate taarifa mbaya...
0 Reactions
3 Replies
291 Views
Anonymous
Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
2 Reactions
7 Replies
483 Views
Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine 1. Aziz 2 .6(Marehemu) 3. Edward (Marehemu) 4. Mzee wa Msoga 5. Makamu mtarajiwa 6. Amos 7. Mzee wa tai ya...
1 Reactions
0 Replies
695 Views
Nilitegemea Rais katika hotuba yake angewaongoza wanachama wa ccm kumuombea kheri mh Ndugai ambaye ametangulia mbele za haki na ambaye bado ajazikwa badala yake hilo halijafanyika zaidi nikuomba...
2 Reactions
4 Replies
422 Views
Mimi ni mtu ambaye kila mara nilijtahidi kwa kadri ya uwezo wangu kumsaidia mtu yeyote aliyehitaji msaada wangu uwe wa muda, mawazo au ata fedha. Lakini kwa hili lililonikuta naomba Mungu aondoe...
12 Reactions
75 Replies
3K Views
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Begi lenye Fomu zake za kugombea nafasi hiyo...
0 Reactions
2 Replies
229 Views
Ukiona mtu anabadilika kama kinyonga jana alikuwa hivi na misimamo mikali dhidi ya kundi lingine.Ghalfa akabadilika akatoka lile kundi akaenda kundi lingine alilokuwa anakandia akawa anakandia...
0 Reactions
9 Replies
474 Views
Mtaa wa King'ong'o Kata ya Saranga ,wilaya ya ubungo hatuna maji ni mwezi wa nne Sasa. Tumeripoti DAWASA ofisi ya Kimara bila kupata Masaada. Wanakuja wanaangalia wanasema tunalishugulikia ni...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Habari ya muda huu wakuu na ndugu zangu JF. Mwezi mmoja na Nusu uliopita (about 45 days) nilileta hapa moja ya mtiririko wa jambo langu lililokua linaniandama kama ambavyo nilieleza hapa kwenye...
47 Reactions
567 Replies
27K Views
Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu...
6 Reactions
10 Replies
544 Views
Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Anonymous
Mheshimiwa Anthony Mavunde, Nitumie nafasi hii kukupa salamu na pongezi kwa jitihada zako kubwa katika kuimarisha maisha ya vijana wa Dodoma kupitia nafasi yako ya uongozi. Mimi ni kijana mkazi...
2 Reactions
2 Replies
321 Views
Habari wana JamiiForums! Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Anonymous
Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo. Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11. Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
2 Reactions
3 Replies
423 Views
Nimepima hospitali moja wakasema nina malaria 4,wamenipa dawa, kabla sijameza dawa nikaenda hospitali nyingine kuhakikisha wakasema sina malaria, Nipo njia panda, nimeze dawa au nisimeze? Ushauri...
1 Reactions
24 Replies
811 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…