Acha Maumivu ya Kuhesabu Gharama za Kuagiza Kutoka China!
Je, unatumia saa nyingi kufanya mahesabu magumu ya gharama za kuagiza bidhaa kutoka China (Loos Cargo)? Unapoteza muda, unachanganyikiwa...
Tunatia aibu kwakweli unaona kabisa mtu mzima amesoma lakini bado anashangaa nyumba za watu kwa kulalamika as if amekatazwa naye kujenga nyumba Kama hyo anayoishangaa, hebu vitu Vingine acheni...
Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu.
Polepole hana jipya...
๐ฃ๏ธ
Mwananguโฆ
Katika dunia yetu hii ya sasa, yenye shinikizo la maisha, tamaa zisizoisha, na mashindano ya kuonekana bora hata kama ndani tunavunjika, nataka nikupe onyo lenye thamani kuliko...
Wanasema the futute isn't distant dreams its coming live ๐ฅด,
Naam inapaswa utambue tu kuna mambo 5 yataweza kujitokeza kwenye maisha Yetu ni ya kushangaza lakini yataweza kutokea tuombe uzima tu...
Baada ya Infinix kutangaza toleo jipya la simu zao ambayo ni Infinix Note 50 Series' , kwa kweli wameboresha mambo mengi sana kwenye hii toleo jipya kikubwa zaidi ni kuhusu ujio mpya wa AKILI...
Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu...
Salaam, Shalom!!!
Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua...
Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia...
Wakuu,
Instagram imeendelea ku-copy features za mitandao mingine. Naona kwenye hii update yao mpya wameongeza sehemu ya REPOSTS kama ambavyo ipo kule tiktok
Yaani hapa ukisha-REPOST kitu basi...
๐ฏ๏ธ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI.
๐ฏ๏ธ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini...
Ni imani yangu mnaendelea vyema sana.
Kumekuwa na gepu kubwa sana siku hiz kwenye engagement kati ya mada za matumizi ya maarifa ya juu au fikirishi na mada za kuchekesha au kuburudisha. Hili...
Siku zote machaw wote hawanaga akili, chama cha CCM kwasasa kimeelemewa, sekta ya usafiri hasa mwendo kasi inaelekea kuzimu kabisa nimekuwekea video hapo chini๐๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ hii nchi asee
Mchungaji Tony Kapola ajibu wanaomkosoa kuhusu muujiza wa kupuliza mtungi wa gesi
Baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha Mchungaji mke wa Mchungaji Tony Kapola akieleza muujiza wa kujaza gesi...
Zamani za kale walikuwa wanawasingizia wanawake wa eneo wanaokula ndizi kwa saana.
Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni...
Nataka kuukaribia utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, connection naombeni, umaskini ni laana wazee mnaelewa?
Au mnataka niwe kama wengine waliojikatia tamaa halafu...
ZIMBABWEAN HOPEWELL RUGOHO-CHIN'ONO NAMED CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST 2008
Hopewell Rogoho-Chin'ono, CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008 : Picture by CNN.
2008...
KERO hii Ina mwaka mzima.
Wananch hapa wamechoka lakini watoa huduma wanaleta uwongo kwamba huduma imerejea.
Hata choo cha Kinyerezi stendi hakina maji huko nje ya mji kutakuwa na matope
Habari wakuu.
Kichwa cha habari chahusika.
Naombeni msaada wenu kujua kama kuna kiasi cha pesa nitakatwa iwapo nitasitisha account yangu ya muda maalum.
Natanguliza shukrani