Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege...
Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na...
Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ya kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi...
Eti una mpenzi ambae ukiwa nae unakua na AMANI SANA? Kama hujawahi pemda huwezi muelewa, Yani Kuna ile unakua na mpenzi ambae Yani hata kama una Nuka jasho, huja piga mswaki, Yani unakua na AMANI...
1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02.
2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99.
3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81...
Mitandao ya kijamii imefanya maisha ya watu kuwa kama maonyesho ya kila siku. Tunawaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakivaa vizuri, wakila kwenye hoteli na kuonyesha mafanikio yao.
Lakini...
Swali la kama Israel ni "overrated" (imepewa sifa kupita kiasi) au la, linategemea sana sekta unayoiangalia (kijeshi, kiteknolojia, au kiuchumi) na vigezo unavyotumia.
Tathmini halisi inaonyesha...
Ni kusukuma mabadiliko kutoka kuuza rasilimali ghafi hadi kuzalisha bidhaa zenye thamani kubwa.
■ Viwanda vya uchakataji vijengwe nchini
■ Madini yachenjuliwe na kusafishwa hapa hapa
Ndege za kibiashara za Israeli ni miongoni mwa ndege za abiria zinazolindwa zaidi duniani.
Na baadhi ya ndege hizo zina mfumo wa usalama ambao ni nadra sana kushuhudiwa kwenye usafiri wa anga wa...
Yapo mafundisho ya aina mbili kuhusu UNYAKUO yanayowagawanya waumini katika makundi mawili kundi la kwanza wanaonamini UNYAKUO utatokea kabla ya DHIKI kuu huku kundi la pili wakiamini UNYAKUO...
Nakumbuka mm nilianza kutumia simu yangu ya kwanza baada ya kumaliza kidato cha nne na sio kununuliwa na mzazi nilinunua mwenyewe
Ila now naona watoto wapo shule ya msingi mzazi kamnunulia mtoto...
Habari za wakati huu wakuu.
Hebu tuwe wakweli kidogo leo. Kwenye maisha ya sasa, ukisema utafute rafiki wa kike (ambaye ni mwanamke) kwa nia ya urafiki wa kawaida tu wa kusaidiana mawazo, stori...
Mimi niko Bukoba, gari langu pia lipo Bukoba, traffic ananisimamisha anasema gari lina faini 120,000 ilipigwa Dar es salaam,
Dereva aliyeandikwa simjui na gari tarehe husika lilikuwa Bukoba...
WAKUU NAOMBA MNISIKILIZE KIDOGO 🙏
Sijui hata nianzie wapi kusema, lakini nimeamua kuandika hapa kwa sababu kwa sasa nimefika sehemu ambayo nahitaji msaada wa mtu mwenye moyo wa kusaidia.
Kwa...
Nimepita huko duniani nimeona mjadala watu wakidai kwa Mila zetu waafrika baba na mtoto wa kike Kuna umri ukifika lazima kuwe na mipaka kwa baadhi ya mambo, kama vile ukaribu uliopitiliza,kua nae...
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist
𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬...
Wapo waliowapa pesa Kisha wakawapakia mkongo na kayembe shentemba mpaka kufia kwenye vinena vyao na bado wakalizwa.
Wapo waliowahonga magari ,pesa kedekede na mauno ya lokasa ya mbongo na bado...
1 Samweli 16:23, "Ikawa, ile roho mbaya kutoka kwa Mungu ilipomjia Sauli, ndipo Daudi alipokishika kinubi na kukipiga kwa mkono wake, naye Sauli akaburudishwa, na ile roho mbaya ikamwacha."
DAUDI...
Ushahidi wa Kisayansi
Sayansi kupitia nadharia ya Big Bang na fizikia (PHYSICS) ya kisasa inaonyesha kuwa ulimwengu ulikuwa na mwanzo. (Time ,space and matter)Wakati, nafasi, na maada havikuwepo...
Mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa alifanya ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro.
Pamoja na mambo mengine Nchengerwa alizungumza na watumishi wa serikali kwenye...