Chama cha Walimu Zanzibar kimehoji Wanafunzi wanaohitimu na kufaulu masomo ya Sanyansi katika Skuli za Unguja na Pemba wako wapi baada ya kumaliza kusoma kwani bado kuna changamoto ya uhaba wa...
Fatilia wachungaji wengi na manabii hauwezi kuwakuta twitter au X kwakuwa huko kuna intelligent people , sio rahisi wakapata wafuasi.
Na hata wanawake wengi ambao ndo wateja wao hauwezi kuwakuta...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Lela Mohammed Mussa amewakumbusha Walimu kuwa wanapochagua Kada ya Ualimu wakumbuke kuwa wameyatoa maisha yao kwa ajili ya jamii.
Akizungumza na Wajumbe wa...
Taasisi hii ilianzishwa kwa lengo la kupambana na rushwa, na pia taasisi hii haikuanzishwa kwa lengo la kukamata wala Rushwa wadogo Pekee bali walaji wa aina zote wa rushwa.
Mara nyingi sana...
WATU SIJUI tuna SHIDA ipi, unaambiwa usinunue ardhi HAPO NYUMBA zaidi ya mia Saba zinataka kubomolewa kesi IPO mahakamani, MTU UNAENDA TENA kuulizia kiwanja SAA ZINGINE MATATIZO yanayo toke NYIE...
Nimefika Kituo cha Daladala cha Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho ambapo pia kuna Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi, nimekuta kuna nyomi la hatari la abiria wakisubiri usafiri wa...
Ikiwapendeza wabunge wetu watunge hii sheria. Iwe kosa kuombwa hela na mwanamke ambaye sio mkeo. Iwe ni sawa na shambulio la aibu kwa mwanaume.
Iwe kosa kisheria. Hali ni mbaya sana mtaani kwa...
Wadau hamjamboni nyote,
JIBU: Hakika ni kuwa meno ya dhahabu yanaweza kuwekwa na Muislamu kwa dharura inayokubalika kisheria.
Hii ni kwa mujibu wa Hadiyth iliyosimuliwa na Arfajah bin As‘ad...
MBODO AKUTANA NA POSTAMASTA WAKUU WASTAAFU KUBADILISHANA UZOEFU ILI KUIMARISHA POSTA
📍 Dar es Salaam
🗓️ 13 Agosti, 2025
Postamasta Mkuu Bw. Macrice Mbodo, amekutana na Mapostamasta Wakuu...
Katika kipindi cha 2020 hadi 2025, Mkoa wa Tanga umeongeza idadi ya vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 325 hadi 417 (ongezeko la vituo 92), ambapo zahanati zimeongezeka kwa 74 (kutoka 287...
TAKUKURU wameirejea Habari iliyochapishwa na JF ya kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa Rais wa Korea kwa tuhuma mbalimbali za Rushwa ikiwepo kupokea zawadi zenye Vito vya thamani kutoka kwa watu...
Mimi ni mwanachama wa mfuko wa PSSSF niliyechangia miaka kadhaa kabla ya kupoteza ajira kutokana na sababu mbalimbali, mwaka jana (2024) nilifUatilia fao la kukosa ajira nilizungushwa hadi nikaja...
Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Mara Agosti 15, 2025, ukitokea mkoani Simiyu, ambapo utazunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa huo na kukagua, kuweka mawe ya msingi...
Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu.
Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina...
Salam!
Kila Taasisi Lazima kuwepo na Mgawanyo wa Madaraka na Mgawanyo wa Majukumu ndani ya Taasisi Hiyo.
Yaani Lazima Kuwepo na Bosi Mwenye Mamlaka Ya Juu na Kuwepo na Wafanyakazi Wenye Mamlaka...
Tendo la ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.
“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna...
Ndugu zangu nawasalimu nyote.
Kwa mara ya kwanza naanzisha uzi huu dhidi ya mmoja wa wanachama waandamizi wa Jamii forums ndugu Yericko Nyerere. Bwana Yericko aliasisi shindano la #Mswahili...
Moto mkubwa ambao bado haujajulikana chanzo chake unateketeza maduka yaliyopo eneo maarufu kama Mnara wa Voda, Shinyanga.
Zoezi la kuuzima moto huu ulioanza majira ya saa mbili usiku kwa mujibu...