Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BADO SIKU 10: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Vunja ukimya ongea na mwenzako, Unashauriwa kuzungumza na watu wako...
3 Reactions
3 Replies
289 Views
▪️Waziri Mavunde azindua Kiwanda cha kuongeza thamani madini Chumvi-Kigoma ▪️Ni cha uzalishaji Chumvi Lishe(𝐶𝑎𝑡𝑡𝑙𝑒 𝐿𝑖𝑐𝑘) kwa ajili ya Mifugo ▪️Lengo ni kupunguza uagizaji wa Chumvi Lishe kutoka...
1 Reactions
2 Replies
242 Views
Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF), chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, tarehe 12 Agosti, 2025 imeendelea kutimiza adhma yake ya kutoa ufadhili kwa makundi mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
557 Views
My Take Kufikia 2030 ,zaidi ya 50% ya Watanzania watakuwa wanatumia Nishati safi ya umeme,gesi na mkaa Mbadala ambapo lengo la serikali ni kufikia 70% ya watu mwaka 2030. DODOMA: SERIKALI...
2 Reactions
7 Replies
717 Views
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya...
1 Reactions
4 Replies
500 Views
🗯️ Kuna tukio moja la kushangaza limetokea nchini marekani baada ya Teknolojia ya Akili mnemba kumuua mzee mwenye umri wa miaka 76 na kuweza kuzua hofu kuhusu athari ya Teknolojia hiyo ya Akili...
4 Reactions
12 Replies
577 Views
Tena hasa wa kike, wa kiume wakiwepo basi ni wa kuhesabika. Sio vyuo vya kati ama vya makanisa, Ni vyuo vikubwa kama Udsm, Udom, Mzumbe, DIT, MUST, n.k. (na huwezi kukuta matawi ya hivi vyuo...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho? Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level...
15 Reactions
119 Replies
43K Views
Naam, ni kutoka kwenye Biblia, pia yasema " Wema watawalapo watu hufurahi ila waovu watawalapo, watu huugua. Katika kutafakari neno hili nami nikaona si watu linalougua bali wapenda haki ndio...
3 Reactions
11 Replies
477 Views
Kijana mmoja toka korea anayejihusisha na Masuala ya content kupitia YouTube aliweza kufanya jaribio la kukunja simu mpya ya Samsung Galaxy Z fold 7 mara 200,000 akiwa Live Stream. Wakati wa...
1 Reactions
15 Replies
776 Views
Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kuendelea kuongezeka visiwani hapa ambapo Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali inaonesha matukio hayo yakiongezeka kutoka matukio 1,222 mwaka 2021 hadi...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Kutokana na uzoefu mdogo nilionao wa kufuatilia hoja na kuunganisha nukta zake huku nikijaribu kurudi nyuma ya misukumo iliyopo nyuma ya hoja nimeweza kubaini kuwa nabii nyingi zinazotolewa...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Hati, imeendesha kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini, kwa...
2 Reactions
13 Replies
701 Views
Anonymous
Wilaya ya Mbarali inasikitisha kuona barabara ina zaidi ya miezi nane hadi kumi, ikiwa imewekwa vifusi na havijasambazwa kwa kipindi cha muda mrefu. Ni kama imetelekezwa pasipo kuendelezwa ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Habari wana JF, Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
TAMISEMI tunaomba ufafanuzi zidi ya baadhi ya watumisi kupatiwa vibali vya uhamisho kimya kimya pasipo na kutolewa orodha ya majina ya waliyopata vibali kwenye official website zenu, ikiwa baadhi...
0 Reactions
10 Replies
921 Views
Ukweli, sisi unaotupigania hatujui tunataka nini; wengi wetu ni keyboard warriors, tunahamasishana mitandaoni. Lakini, on the ground, wengi wetu ni watumwa wa huu mfumo wa fisiemu. Tunakukumbuka...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Magonjwa yanayoogopwa zaidi duniani kulingana na kila bara, kwa kuzingatia kiwango cha maambukizi, vifo vinavyosababishwa, hofu ya jamii, na athari kwa uchumi au maisha ya kila siku. 1. AFRIKA...
1 Reactions
4 Replies
430 Views
Baadhi ya waombelezaji wakiaga mwili wa mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), George Mwingira aliyetamba na wimbo wa 'No reforms no election.'...
1 Reactions
6 Replies
711 Views
Jumapili njema kwenu nyote. Zangu zinazonibariki siku ya leo ni:
11 Reactions
83 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…