Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nimeibiwa simu na ina simcard ina savings zangu zote, sasa nashindwa kurenew simcard sababu alienisajilia nimetafuta bila mafanikio, naomba msaada kwa mnaofahamu hizi mambo. Kwenye...
1 Reactions
10 Replies
570 Views
Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda, Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha. Tumia Fedha Mali...
4 Reactions
8 Replies
407 Views
Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu...
12 Reactions
73 Replies
6K Views
Majority uetu tunaweza kujifarijiana kwamba tuipigie kura CCM itoke kwenye kiti cha enzi. Tukiachana na vyombo vya dola kulinda Hii state party (hii ya kuipa vyombo vya dola kuishikilia ccm...
1 Reactions
23 Replies
867 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji...
2 Reactions
66 Replies
2K Views
Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini? Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu...
10 Reactions
112 Replies
4K Views
Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende. Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu...
0 Reactions
4 Replies
273 Views
Huu ujumbe uifikie taasisi yenye dhamana ya kuhifadhi mazingira. Sio siri kwa Mtanzania wa kawaida anakerwa na baadhi ya RAIA hasa maeneo ya vijijini kufungulia hoofer za kichina sauti za juu hadi...
2 Reactions
6 Replies
332 Views
BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Hili jiji la arusha ambalo linasifika kwa utalii na ambalo lina historia nzuri ya kutoa wasanii, waigizaji na watangazaji maarufu, sifa zake kwa nje ni nyingi na nzuri sana. Ila kwa uhalisia...
28 Reactions
168 Replies
11K Views
Wakuu mambo vipi Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu...
2 Reactions
1 Replies
409 Views
Kwenye uislamu hairuhusiwi kucheka sana, haijaelezwa huko kucheka sana ndio kupi, kwa hivyo waislamu wanaohudhuria commedies na kucheka yao yote wajue wanatenda dhambi. Eti ukicheka sana inaua...
3 Reactions
33 Replies
870 Views
Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini? Hembu linganisha...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
1 Reactions
10 Replies
489 Views
Anaandika Ndugu MalisaGJ TATIZO LA KUJIUA KATIKA JAMII "Kwako mke wangu (Mama Derick). Naomba nisamehe sana kwa maamuzi haya. Maisha kwangu hayana maana tena, nisamehe sana. Nimejitahidi...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote...
2 Reactions
2 Replies
712 Views
Wanasayansi waja na kondomu ambazo zinabadilika rangi pindi inapo gundua kama una maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na kaswende. Wanetu mtaacha ndala🩴
2 Reactions
6 Replies
533 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…