Habari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je...
Tundu Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 na alisoma shule ya msingi Mahambe, Singida. Katika miaka yake yote saba shuleni hapo, Lissu hakukubali hata mara moja kuamka alfajiri saa 11 kuwahi...
Alianza kwa kasi kubwa na kupata wafuasi wengi na maoni ya wengi yalikuwa chanya. Nini kimefanya awe kimya ghafla? Je ni maboss wa mainstream wameamua kudeal naye kupitia TCRA na TRA kwa...
Leo nimepigwa surprise ya hatari,nimetoka zangu job nikasema nipite millennium tower nikae Montana kusubiri foleni ipungue nishushe na one for the road...ila nikasema kwanza niingie ATM nizagamue...
Machozi, majuto na kuchanganyikiwa kwa wasomi wanaomaliza vyuoni kukosa kazi mtaani. Ndoto zao kuishia kuwa simulizi ndani ya nafsi zao ni msiba mkubwa kwa Taifa letu. Ni wakati sasa wa nchi...
Ukisoma historia ya Waisraeli, utaona jinsi Mungu alivyotoa mapigo kumi kwa Wamisri waliokataa kumtii. Mojawapo ya mapigo hayo ni majipu mabaya yaliyowakumba watu wa Misri (Kutoka 9:8–11). Hili...
INTRODUCTION:-
Salam sanaaa?
HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI.
Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata...
Kweli milima haikutani jambazi lililotuibia tv mwaka 1988 Raskazone Tanga nimeliona leo limezeeka linaishi kwa mtoto wake pale Mabibo jeshini linaumwa figo miguu imevimba balaa.
Kilichofanya...
Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Ni sehemu muhimu ya...
Isa 41:18 SUV
[18] Nitafunua vijito vya maji juu ya vilima, na chemchemi katikati ya mabonde; nitageuza jangwa kuwa ziwa la maji, na mahali pakavu kuwa vijito vya maji.
Ukijikuta katika hali...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imetakiwa kuhakikisha kuwa waandishi ambao maombi yao yamekamilika na kuthibitishwa wanapatiwa vitambulisho kwa wakati, kwani kumekuwa na malalamiko kuhusu...
Ally Kamwe acha upimbi wa kuwagawa Watanzania kisa yanga inadhaminiwa na GSM au Kikwete na wanakupa kula
Yanga ilikuwepo kabla ya Uhuru hata Kikwete ni mtoto mdogo Sana kwenye hii timu...
Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk Baghayo Saqware amesema kutokana na utekelezaji wa Sera nzuri chini ya uongozi mahiri wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani.
Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na...
Ni jambo la kushangaza sana, katika njia ya Mwenge kuelekea Tegeta kuna askari wa traffic wanne ambao badala ya kuongoza magari na kurahisisha foleni, wamegeuza eneo hilo kuwa kituo cha kudai...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetangaza mchakato wa uchukuaji wa fomu ze uteuzi wa wagombea pamoja na ratiba ya kampeni na uchaguzi Mkuu ambao umepangwa kufanyika Oktoba 29, 2025 ukitanguliwa na kura...
Wakati huko kwa wengine duniani wanatamba na AI,EVs,Solar,Nuclear.........
Sisi Afrika tuna tamba na innovation yetu inayo sumbua kwa sasa katika masoko mbalimbali ya bidhaa.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani.
Akizungumza leo Agosti 18...
Habari !
Naomba kuuliza,
Hivi ikitokea siku TRA wakawatoza kodi wanywaji wa vileo hapa nchini inaweza kuwa ni wazo zuri, bora na njia nzuri ya kuzuia wimbi kubwa la unywaji wa pombe na vileo...