Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zetu wa Mikoani hii ndio dar es salaam sasa, huku usafiri wa umma hasa nyakati za asubuhi na jioni bila kuwa mbabe haupandi. Nimewahi kushuhudia dada mmjoa akiwa katika purukushani za...
32 Reactions
145 Replies
6K Views
:: MKuu huyo wa Mkoa wa Tabora mbele ya Waandishi wa habari amesema Rais Samia ameongeza Mapato ya Madini Tabora kutoka TZS 40bn hadi TZS 133bn ndani ya miaka minne(4). Katika kipindi cha 2021...
0 Reactions
13 Replies
684 Views
ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
1 Reactions
7 Replies
460 Views
Naam ni maneno tu yalitumika kupata mwanamke wa aina yeyote.... Ingawa wengine walijaaliwa vitu na pesa (mtama kwa watoto). Kwa vijana wa sasa hawana uwezo wa kumuimbisha mwanamke kwa maneno...
1 Reactions
7 Replies
458 Views
Kwa muda nimekuwa nikitamani kupeleka wanangu Shule za Sekondari za Day ila changomoto inakuwa usafiri. Tumezoea kuona mara nyingi shule zenye utaratibu wa kichukua watoto asubuhi na kuwarudisha...
1 Reactions
2 Replies
294 Views
Nikiangalia jinsi BRT phase I iliyotekelezwa na Strabag na nikilinganisha hii BRT phase 3 ya kwenda Mbagala naona kuna utofauti mkubwa sana katika ufanisi wa kiutendaji. Niombe kuuliza wale walio...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu.... kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara..... HUyu rafiki yangu asili...
10 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za jumapili, Leo sijaenda kazini nimepumzika,katika kupitia pitia mtandaoni nimeona mambo ambayo siku si nyingi yatajiri,kwanza ni vita vikubwa vya dunia ambavyo vitakuwa vya nyukilia,kama...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia. Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Usifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Watanzania wengi hupenda kutumia vitu vilivyoongezewa thamani hata kama kwenye mazingira yetu vipo na hatutaki kuviongezea thamani. Juisi ya mapera mtaani siyo maarufu Sana, lakini mapera hayo...
2 Reactions
7 Replies
477 Views
Yeah kuna mdau nilikuwa napiga naye stori hapa border,akaniuliza swali la kizushi . Mbona wafanyabiashara wakubwa (business tycoons) na/ sio wajasiriamali. Kwamba mbona almost wote hao wapo...
0 Reactions
3 Replies
300 Views
Habari, Nikiwa kama mdau wa kuuza na kununua magari used na mapya kutoka japan imenibidi leo ni share hili jambo la card mpya zinazotolewa na TRA kwa sasa. Kadi za mwanzo zilikuwa ni hard...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni jambo la Kustaajabisha na ni halisi kabisa limetokea Huko Mkoani Mra wilaya ya Tarime ambapo inadaiwa makaburi saba yamekutwa Kanisani Humo Hadi sasa Hijafahamika wazi ni nani aliyachimba na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Geniuses wangu wakubwa hapa JamiiForums mrangi, King Kong III, adriz, Benny Haraba etc kulikoni Fegi hii imeadimika?
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
3 Reactions
9 Replies
808 Views
Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) kwenda kuwa wazalendo na nchi yao na kuilinda kwa wivu mkubwa ambapo pia...
1 Reactions
3 Replies
562 Views
Mwanafunzi auliwa na wenzake,anayeitwa Yohana Amani Konki 17,kwa ramli ya mganga,kuwa kaiba simu
1 Reactions
10 Replies
839 Views
Hii kesi kama ingelikuwa kipindi kile cha mbowe na kesi ya kupewa ugaidi tuliona mashaidi na hakuna aliyekuwa na mada nao hata leo ukiniuliza hakimu aliyesimamia ile kesi itabidi kutafuta sura...
1 Reactions
5 Replies
750 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…