Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na...
73 Reactions
363 Replies
21K Views
Sapalala ni wadudu wa baharini, kidogo wafanane na kamba kwa muonekano. Wao wana rangi ya kahawia au kaki. Na wana miguu mingi midogomidogo. Sapalala, nawaona sana kwenye ufukwe wa Msasani na...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Kwa nini watu wakisikia jina la Yesu hudondoka? kwanini wanadondoka, nini kina wadondosha, kudondoka ni hali ya kuzirai? Je ni jina la mtu yupi mwingine lenye nguvu hiyo? CC Rakims, Mshana Jr...
0 Reactions
3 Replies
443 Views
1. MAO ZEDONG (communist dictator - China) - 30,000,000 deaths 2. ADOLF HITLER ( Nazi dictator - Germany) - 18, 564,900 deaths 3. CHIANG KAI CHEK (Millitary dictator - China) - 10,515,100 4...
3 Reactions
45 Replies
10K Views
Huku mitaani na kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanastaajabu uwezo wa Lissu kwenye ujasiri na mambo ya Sheria. Unapoona mtu maarufu kama Hassan Mwakinyo anasema maneno kuashiria kudurufu...
2 Reactions
0 Replies
196 Views
Kwa mtu mwenye Anamjua huyu dada aliyevamiwa atusaidie location na Mawasiliano yake. Inasemekana limetokea Goba
3 Reactions
14 Replies
736 Views
Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili...
-1 Reactions
0 Replies
445 Views
Anonymous
Barabara ya NSSF Road, Mbezi Beach, Makonde imekuwa mbovu sana kwa muda mrefu sana. Hivi NSSF wenyewe, kwa barabara yenye jina lao kabisa, hawawezi hata wakaisambaza level? Hata kwa zege tu?
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Sintofahamu kuhusu Chama cha Mpanda Afya SACCOS imeendelea kwa mwaka mzima sasa tangu ofisi zake zifungwe. Wanachama hawajalipwa stahiki zao, na kila mara tunapofuatilia kwa viongozi wa chama...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Jana nilikua nikitizama Clouds TV nikamuona Mchungaji ambaye anachipukia kwa umaarufu miongoni mwa vijana wa hapa mjini Dar es Salaam, Pastor Tony Kapola. Nilipigwq na butwaa kuona kwamba yeye ndo...
22 Reactions
115 Replies
18K Views
REA KUSAMBAZA MAJIKO BANIFU 10,650 MKOANI PWANI 📌RC Kunenge aipongeza REA kwa kuhamasisha matumizi nishati safi *📌Mifumo ya umeme jua kuchochea upatikanaji wa umeme kwa asilimia 100 ifikapo...
0 Reactions
4 Replies
330 Views
Dada zetu wa siku hizi wanapenda sana mihogo kuliko bamia😁 Bahati mbaya sasa zile website za x zimewafanya vijana wetu wabadili kilimo kutoka kwenye kulima mihogo—sasa wanalima na kuzalisha bamia...
3 Reactions
13 Replies
630 Views
Please, fuatana nami kwa dakika moja nikuelezee kwanini nimesema kwamba kwa tukio hilo, members wa JF wanaweza sasa kuelewa kuwa Biblia ni kitabu cha kweli. Ni hivi: Kuna members wengi humu...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali, 1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Hii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu: Siogopi wachawi wala...
49 Reactions
113 Replies
3K Views
Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia...
1 Reactions
9 Replies
645 Views
Na utaambiwa mamla husika haioni haya? Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya...
1 Reactions
17 Replies
925 Views
Kuna mtu humu anawaenjoy masela basi na wao wanachekeleeea hawajui kwamba wapo katika "matrix" yake ya kujimbwafai.. Too bad wachache ndio wataelewa.
1 Reactions
4 Replies
513 Views
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge. 2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama. 3. Chagga Bite Bar, Makumbusho. 4. Mori Bar, Sinza. 5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani. 6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road...
42 Reactions
419 Replies
29K Views
Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na ARDHI ZA BEI NAFUU ( MASHAMBA kwa ajili ya KILIMO NA VIWANJA kwa UJENZI WA NYUMBA ) Ukinitajia top 3 yako inatosha .
3 Reactions
9 Replies
834 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…