Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah.
· Faida Halal 12% ukiwekeza TZS
· Faida Halal 6% ukiwekeza USD
· Gawio mara 4 kwa mwaka
· Itadumu kwa miaka 5...
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa agizo na mwongozo kwa vyuo ambavyo havitoi Shahada ya Uzamivu kuacha mara moja kutunuku shahada za heshima (Honorary Doctorate) kwa viongozi wa kisiasa...
Wakuu,
Msikilizeni Abdallah Msagama mwenyekiti wa wapangaji Tanzania akizungumzia kuhusu wapangaji kulipishwa kodi ya miezi 6.
"Sheria ya Kodi ya Nyumba ni mwezi mmoja mmoja, sio miezi sita...
Habari,
Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi...
Kama ni soko la cider Tanzania tayari liko kubwa sana kwa sababu karibia wadada wote wa mjini kila ukiwagusa kinywaji wanachotaka kwanza ni Savannah, hata wakaka wa mjini wengi tu wanapenda...
Wasalam..
Ninashindwa elewa jinsi Bodi ya Mikopo inavyofanya kazi kwenye madeni yetu salary slip yangu ya January deni lilibaki 985,300 nimetoka angalia la mwezi huu limepanda mpaka 1,877,000...
Ikiwa utatangaza nia yako ya kuuangamiza ouvu, tambua ya kuwa hayatakuwa mapambano ya wazi. Mchezo wa ouvu ni wa vita ya kisaikolojia, si vita wa kimwili.
Unasema utauangamiza uovu. Uovu...
Niko kwenye dalala natokea mbagala kwenda posta nasikia waislaamu wanaandamana na police wanajalibu kuwatawanya kwa kupiga mabomu ya machozi kisa mtoto kakojolea msaafu.
Kuna habari kwamba kituo...
!!Wanaume kuna ujumbe wenu hapa...
✍Ripoti mpya ya Taasisi ya Vinasaba ya Smart DNA iliyo na makao yake nchini Nigeria imefichua kuwa kati ya watoto wanne, mmoja anakuwa sio mtoto halali wa baba...
Wakuu -Je kutokana na ujio wa AI unaitumiaje katika kukuongezea kipato ?
Binafsi naitumia kuandika kitabu ambacho kitaelezea MAISHA yangu binafsi na inspiration kadhaa kuhusu MAISHA.
Kwa madereva kwani wamekuwa wakikamata kwa uonevu unakuta dereva kaegesha sehemu ambayo muhusika wa ku-scan anaku-scan ila wao wakipita wanakukamata wakati ushascaniwa. Na pia wanakuta dereva...
Kiukweli napenda kukiri TAKUKURU wanajitahidi sana kutoa elimu ya rushwa na miongoni mwa maneno wanayorudia ni kwamba "...mwananchi ukipokea rushwa hautakuwa na haki ya kudai maendeleo..."
Cha...
Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa....
1. Boxer, bajaji
2. Betri
3. Nyembe za Dorcco.
Kinachosikitisha zaidi huenda...
==
Katika sekta ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumi, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa miongozo ya kuyawezesha makundi mbalimbali ya jamii kuimarisha uwezo wao wa kushiriki shughuli za maendeleo na...
Hili ndilo janga kubwa kwani tumelishwa na kujifunza elimu ya kikoloni hivyo tunahitaji kufanya mapinduzi ya kielimu ili kusoma vinavyotuhusu tu na vya kwetu kwa wingi zaidi.
Mpina kuvaa picha ya Magufuli wakati wameenda kuomba wananchi wamdhini kama Mgmbea wa Urais ACT inamaanisha nini? Kwamba bado anaamini kwenye uongozi wa Magufuli na chama alichokuwa anakiongoza...
Success is not solely determined by one's intelligence (IQ), education, knowledge, or skills. Rather, it is largely rooted in the ability to see opportunities, rather than merely looking at...