Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ya jioni wakuu, Binafsi kwa mambo yanayoendelea nchi hii imani sina na vyombo vya usalama wa nchi. Vinatumia nyadhifa zao kukandamiza raia na kutetea tabaka tawala bila hofu kwa sababu...
3 Reactions
17 Replies
906 Views
Azania itavuta pumzi ya amani kwq shangwe na nderemo
0 Reactions
12 Replies
855 Views
Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza...
1 Reactions
9 Replies
625 Views
Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni...
1 Reactions
2 Replies
435 Views
Huwa nawashangaa sana kina Polepole na genge lake wakitoa matamko eti...inakuwaje Uchaguzi Mkuu ufanyike bila chadema...wakitaka kuwaaminisha watu kama vile Rais au Tume ndio imewazuia Chadema...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Tujizuie Kuwa na Imani Kama ya Tomaso Tomaso ni Nani Katika Agano Jipya, Tomaso, ni mmoja kati ya mitume 12 wa mwanzoni waliochaguliwa na Mwokozi wakati wa huduma Yake katika mwili wenye kufa...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Wadau Mbona Pole Pole hapatikani LIVE FACEBOOK/YOUTUBE, kuna Mwenye Updates zozote ? Au Kapigwa Spana ??? Si alitangaza kuwa ataingia LIVE LEO 21.08.2025 SAA MBILI USIKU ?
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Unajua kinachoangusha mti uliokuwa unakatwa sio lile pigo la mwisho.. Japo hilo ndio huonekana kama ndio limemaliza kazi Nyuma yake kabla kuna mengi yalishapiga mengine on target na mengine off...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwenye press yake ya mwisho ile ya kushtukiza kavishutumu vyama viwili vya ACT Wazalendo na CHAUMMA kuwa ni vyama pandakizi vinavyofanya kazi ya CCM kwa manufaa ya CCM Amehoji kuwa ni kichekesho...
17 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za jioni. Katika masuala ya tiba za kienyeji tiba za kisuna na mengine viumbe hawa hutumika sana. Ng'ombe, mbuzi, kuku, njiwa, paka mweupe na mweusi, bizi, ngulizi na ndege aina ya nofi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
๐™ƒ๐™–๐™—๐™–๐™ง๐™ž ๐™ฃ๐™™๐™ช๐™œ๐™ช ๐™Ÿ๐™–๐™ข๐™ž๐™ž ๐™›๐™ค๐™ง๐™ช๐™ข, ๐™ฃ๐™ž๐™ข๐™š๐™ก๐™š๐™ฉ๐™š๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™™๐™ช๐™œ๐™ช ๐™ฎ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช ๐™๐™–๐™ฅ๐™– ๐™จ๐™ค๐™ก๐™–๐™ง ๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™š๐™ก ๐™ฌ10 ๐™—๐™–๐™ฉ๐™ง๐™ž 12๐™ซ ๐™๐™ž๐™ซ๐™ž ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™–๐™จ๐™๐™– ๐™ฉ๐™–๐™– ๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ฅ๐™ž... ๐™ˆ๐™–๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™›๐™ช๐™ข๐™ค ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™š ๐™จ๐™ž๐™Ÿ๐™–๐™š๐™ก๐™š๐™ฌ๐™– ๐™–๐™ช ๐™ฃ๐™ž ๐™—๐™–๐™ฉ๐™ง๐™ž ๐™ฃ๐™™๐™ž๐™ค ๐™๐™–๐™ž๐™จ๐™–๐™ฅ๐™ค๐™ฉ๐™ž ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™–๐™จ๐™๐™– ๐™ฉ๐™–๐™– ๐™ฏ๐™–๐™ž๐™™ ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™ค๐™Ÿ๐™–
0 Reactions
1 Replies
203 Views
Wakuu Huu ni utabiri wangu,jamaa nyota imemuwakia sana na huenda akawa Waziri Mkuu katika baraza lijalo la Mawaziri. Jamaa hakuwa na cheo cha juu sana kabla ya Rais Samia hajawa Rais,mara baada...
0 Reactions
39 Replies
1K Views
Ukifatilia stori mbalimbali zikiwemo zile zinazoletwa humu jf kuhusu majini (viumbe wasioonekana) utaelewa majini wapo katika pilikapilika za maisha kama ilivyo kwa mwanadamu wa kawaida. Kwa...
14 Reactions
77 Replies
3K Views
Vipi wananzengoโ€ฆ Huu mtandao wa Voda kuwa slow ni kwangu tu au hata huko?
4 Reactions
10 Replies
455 Views
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya. Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za...
6 Reactions
93 Replies
3K Views
Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali. Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu...
9 Reactions
498 Replies
58K Views
Pesa Unayoitoa Haiana Thamani kwa Mtu nae ipokea,ila inathamani kwa mtu alie itolea Jasho kuipata.
2 Reactions
0 Replies
150 Views
Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom? So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
WanaJamiiForums Habari zenu, Nimenunua Pikipiki Mpya kwenye kampuni Fulani Tangia mwezi wa Tatu Hadi kufikia muda huu sijapata plate number na Kadi nikiwapigia wananiambia Chassis yangu...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ