Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MGODI WA DHAHABU WA GEITA KUWALIPA FIDIA WANANCHI KUPISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI ▪️Ni Wananchi wa Nyakabale na Nyamalembo ▪️Waziri Mavunde alekeza zoezi lianze mapema ▪️Wananchi Geita wamshukuru...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
❖ Baada ya Miaka 100 GST Yajielekeza kwenye Ujenzi wa Maabara za Kisasa ❖ Kuhudumia mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama na Shinyanga ❖Maabara nyingine kujengwa Chunya na...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
WAZIRI MAVUNDE: MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI ☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20 na Kampuni ya Nyanzaga ☑️ Mwekezaji...
0 Reactions
1 Replies
281 Views
Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya...
0 Reactions
1 Replies
264 Views
Ajira nyingi zina nafasi zaidi kwa watoto wa maboss, watoto na ndugu wa wanasiasa wakubwa, watoto wa matajiri wanaojuana na watu wakubwa, wazanzibari wanaopewa mgao wa ajira ili kubalance...
3 Reactions
22 Replies
984 Views
Huu mji mgumu sana. Foleni zimekua tatizo sana kwa Dar kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea. Sasa vijana wa bajaji na daladala wanaongeza ugumu wa ili tatizo. Angalia kwenye vituo vya...
1 Reactions
1 Replies
222 Views
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema hakubaliani na dhana kwamba taifa linaweza kutajirika kwa kulima dawa za kulevya. Amesema...
1 Reactions
11 Replies
585 Views
Kama dunia ingekuwa imenyooka kama katika ile bustani basi ungekuwa huru kufunguka Kila KITU. Ila ya Sasa ni vurugu tupu angalia sana unavyovisema maana vinakutambulisha. Mambo machache ya...
8 Reactions
9 Replies
608 Views
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za Rufaa kuzingatia mawasiliano ya awali kabla ya kumpa mgonjwa rufaa kwenda hospitali ya Kanda kwa lengo...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Habari wana jukwaa wa jf. Mimi naomba ushauri juu ya swala langu kama ifuatavyo. Kuna kampuni nilikuwa nafanya kazi kwa kipindi cha miaka minne sasa mpaka ilipofika tarehe 11/7/2025...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Chini ya Rais Samia, Sekta ya Maliasili Mkoa wa Katavi imepata mafanikio makubwa hadi Juni 2025. Hii ni pamoja na kukamilika kwa ujenzi wa vituo vinne vya kukusanya na kuchakata mazao ya nyuki...
0 Reactions
6 Replies
338 Views
Shalom shalom Niende kwenye mada moja kwa moja Wewe kijana wa JF unaweza kuwa member wa muda mrefu na unajina maarufu humu jukwaani lakini unamaisha ya kawaida au duni hilo ni jambo la kawaida...
17 Reactions
70 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri leo tarehe 22 Agosti,2025 amefunga Mafunzo ya Jeshi la akiba yaliyoanza rasmi tarehe 9 Aprili,2025 yakiwa na Wanafunzi 16. Mkufunzi Mkuu wa Mafunzo WOII...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
# ambalo kijana akienda kuoa, shangazi wa binti anafanya mapenz! kwanza na muoaji huyo ili kuhakiki kama kweli ni mwanaume kamili Unaambiwa ukienda kuoa huko unapewa shangazi kwanza angalau masaa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameyataka Mabenki yanayotoa mikopo ya Asilimia 10 kuacha mara moja kutoa masharti magumu ya pesa hizo ikiwemo kuvitaka...
0 Reactions
3 Replies
488 Views
Hakuna kitu kinamuuma mwizi kama kuibiwa Gangwe ni lugha kitaa ambayo ni almost inatoweka! Lakini kwa tafsiri rahisi gangwe ni mtu mtemi.. Nyakati hizo neno hilo lilimaanisha utemi kwenye...
25 Reactions
67 Replies
3K Views
Vijana mnaojitafuta acheni kunywa pombe. Mtakuja kunishukuru
7 Reactions
82 Replies
3K Views
Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
2 Reactions
18 Replies
526 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…