Wakuu,
Story hii si yangu, ni ya jamaa jirani yangu,si unajua mjini hakukosi pilika na mishemishe mbalimbali mara lile mara hili ili mradi siku zinasonga
Katika kutembea tembea kwangu nikakuta...
Habari zenu,,,
Nimefanya MANUNUZI bidhaa mtandaoni kwa kutumia VISA CARD ya Vodacom,,baadae niliona bidhaa sio Bora,,,nikaamua kucancel order,,, nikarudishiwa pesa niliyofanyia malipo,,, REFUND...
Mimi ni mtumiaji wa Bank ya crdb kwa zaidi ya kipindi Cha miaka kumi na nne sasa.Lakini kwa mwenendo huu wa crdb bank hakika si bank rafiki tena kwa wateja.
Kwanza kila ukifika katika AMT zao...
Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!?
Ni ukweli...
Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika...
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka...
Macho kucheza kulia au kushoto au mdomo upande wa juu huwa ni kiashiria cha nini?
Mfano Unakuta mtu amekuja kufanya mazungumzo nami ghafla hizo hali zina anza hiyo inaashiria nin
Au umekaa tu...
Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake.
Kamishna Jenerali...
Habari ndugu zangu naomba mwenye kujua jinsi ya kupata namba za nida nazipata wapi na nini kinahitajika ili kukamilisha mchakato huu
Naombeni msaada kwa wenye kujua
Irene Mbithe mwenye umri wa miaka 27 anasimulia jinsi alivyopoteza mkono wake, na jicho katika shambulio baya baada ya madereva wa lori kumshukisha njiani usiku wa manane katika hifadhi ya mbuga...
Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya...
Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo
Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii...
Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume.
Sababu...
Utangulizi:
Katika zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, ujio wa akili mnemba (Artificial Intelligence - AI) umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali duniani, hasa elimu. Wakati AI inaleta...
Isa 45:22 SUV
[22] Niangalieni mimi, mkaokolewe, enyi ncha zote za dunia; maana mimi ni Mungu; hapana mwingine.
Mungu sio kana kwamba anatulazimisha tumtazame na kumtemegea Yeye, kupuuza kwetu...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imetia saini makubaliano ya ushirikiano na Chama cha Madaktari wa Moyo nchini Misri kwa lengo la kuanzisha huduma za upimaji na matibabu ya magonjwa ya...
Siku hizi hapa JF sio sehemu ya kutoa elimu sana kujaza maneno mwisho wa siku uzi wako wakaufuta au kuweka Hidden watu wasiweze kupata taarifa maana unawagusa watawala ambao tukiwashtua watatumia...