Habari wana JF.
Umasiki ni chanzo Cha Mabaya kero, Uchawi, ulozi, kunuka jasho, wivu, ukatili n.k.
Masikini ndiyo mtu wa kwanza kuingia Motoni hata kama ulikuwa unasali sana kama umekufa...
Binafsi ni mdau wa makazi yaliyopangwa na kupewa matumizi kulingana na mpango wa eneo husika.
Kifupi uwa ninahisi kero kupita sehemu ambazo zina ujenzi holela, kwa mantiki hiyo nimekuwa...
Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba).
Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao...
Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi.
Watu wanahoji yafuatayo:
1...
Mimi sio muumini wa kunawaishwa mikono na maji ya vikombe au majagi kwenye vibobo vilivyozoeleka sana sehemu nyingi hapa bongo, huwa napendelea zaidi kwenda kunawa mikono bombani kabisa na maji ya...
Jengo la Soko la Madini la Tanzanite Trading Centre lililopo Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara, likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, akizungumza...
Wadau huko Arusha majina ya sehemu mbalimbali hususani Vituo vya mabus yana Mvuto wa Kipekee sana kulinganisha na Mikoa Mingine.
Nitatoa Mifano Michache Kama ifuatavyo:-
1)Kwa IDD
2)Kwa Mrombo
3)...
Habari wana JF.
Tumesikia theory nyingi kuhusu namna gani pyramid zilijengwa hasa naongerea zile wanaita great pyramid of giza
Hizi
Kuna wakati huwa naamini ata hicho kizazi kinachosemekana...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100...
Mmeshindwaje trick ndogo ya kututeka.funga WiFi hata tatu hapo bar mtu uzidi kukaa ukiendelea kula life bar yako itajza maana hata maofisini siku hizi hatutoki kwa sababu hio dunia ya sasa...
Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko
Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika...
Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku...
the great pyramid of Giza
tutumie great pyramid ( Piramidi kuu )
hii pyramidi imejengwa zaidi ya miaka 4700 iliyopita lakini inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu, maana kila unapojaribu...
Rais Samia amenunua mitambo 30 na magari makubwa 17 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji Pamoja na mitambo 18 ya uchimbaji wa visima na magari madogo 58 yaufuatiliajiRais...
Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama...
===
Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa...