Wakuu,
Nataka nikaionje SGR lakini naona TRC Railway wanataka kunihujumu. Website yao inafunguka vizuri tu lakini ukifika sehemu ya kukata tiketi za SGR inakwama. Kuna nini? Au wametoa taarifa...
Kyerwa, Kagera – Wazazi na walezi wilayani Kyerwa wametakiwa kuhakikisha wanawasomesha watoto wao kwa nguvu zote ili waweze kutumia kikamilifu fursa zote za maendeleo, zikiwemo zile za michezo...
Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA.
Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu...
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la...
Unajikuta mwaka unaisha bado upo solo, hakuna bae wala boo, hakuna mtu wa kukutumia "umelalaje baby?" wala wa kukupa good morning texts zenye emoji ya jua na moyo... lakini wewe hujisikii vibaya...
Kwanini Wakristo hawajitakasi kwa maji, yaani kuosha viungo vya mwili (uso, kichwa, mikono na miguu) kabla ya kusali au kufanya ibada? Mbona katika kitabu cha Yohana 13 imeandikwa kwamba Yesu...
Wanafunzi kumi na moja wakaenda Galilaya, mlimani pale alipokuwa amewaagiza Yesu.
Walipomwona wakamsujudia, lakini wengine wakasitasita na kutilia shaka. (Mathayo 28:16-17)
Lakini kwa hakika...
Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.
Naona nikinyoa kipara kama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut...
Kuna baadhi ya mafundisho yanaenea katika Ukristo ambayo hayana msingi wowote kwenye Biblia
1. KUAMURU MALAIKA (COMMANDING THE ANGELS)
Kuna baadhi ya watumishi wanafundisha waumini kuamuru...
Wadau, kama kuna mtu anaweza kuwa na uwelewa kodi ya Used YUTONG ZK6110 12 meters viti 55 kutoka China ambayo bei yake ni USD 21,000 na kubadilisha steering kutoka kushoto kwenda kulia, battery...
Wakuu naomba kujua nini maana ya hii loan top up,, loan take over,, loan reconstruction ?? Mikopo ya taasisi za kama NMB zina riba kubwa sana na imekua vingu kuihamishia kwenye taasisi zingine za...
Domain ni nini?
Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka...
Uwezi kulalamika pesa fulani au nchi imekuwa kikwakozo na biashara.Sasa
Kuna watu ukiweka mada naomba washindane bei ya nyama ya ng’ombe kujibu mada tu.
Maana inaweza kuwa betting
GT
Tunaishi hapa duniani ila.kuna baadhi ya maeneo ni hapa hapa duniani ila watu huwa katika ulimwengu tofauti kabisa hasa wagonjwa hospital na majumbani.
Ukifika hospital kuona wenzako...