Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm
Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
Habari wakuu,
Pale katikati ya mji wa mwanza kuna viwanja vya michezo na shule za msingi mbili Nyakabungo na Mirongo
Ilakini kuna tabia inaendelea pale uwanjani ya wale jamaa wanaotumia dozi ya...
“Historia haijafa; ni kivuli kinachotembea kando yetu.”
Katikati ya vilima vya Beka’a Valley nchini Lebanon yanasimama mabaki ya hekalu kubwa la kale linaloitwa Hekalu la Bacchus. Ingawa jina...
Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne...
Wakuu habarini za wakati huu.
Mnamo tarehe moja mwezi huu wa nane, kuna jamaa mmoja hivi, ni Agent wa kusafirisha mizigo. Ana kampuni (Clearing and forwarding agency) pale posta, TWIGA HOUSE...
Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea
Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana...
Wazazi wetu walifanya kazi sana na wakalipwa na noti zenye picha ya nyerere, mshahara wa mtu mzito enzi izo ilikua buku, kwa mahesabu ya haraka haraka kwa pesa ya leo ni ~500k
kwann natoa huu...
Mkombozi Commercial Bank Plc ndio Kampuni iliyoongoza Kwa Ongezeko kubwa la Thamani pale Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) kuanzia Januari hadi Agosti. Hii ndio 10 Bora ya Kampuni zilizofanya...
Hizi ni mbinu za kuficha ID yako:
1. Tumia VPN (Virtual Private Network) kila mara
Inaficha IP address yako halisi.
Inaifanya shughuli zako zisifuatiliwe kirahisi.
VPN nzuri: NordVPN...
Katika historia ya ndondi, mechi ndefu zaidi ilikwenda raundi 110, iliyochukua zaidi ya masaa 7. Andy Bowen na Jack Burke, miamba miwili ya ndondi
Wawili hap , walipigania taji la ubingwa mnamo...
Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu.
Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii.
Watu wengi wanaishi katika double...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.
Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia...
Huu ni mkusanyiko wasimulizi zangu ambazo nimewahi kuzileta humu na zile ambazo nitakuwa nazileta huko mbeleni.
Lengo la uzi huu ni kurahisidha ufuatiliaji wa simulizi zangu kwa wale wapenzi wa...
watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa,
Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini...
Will due respect
Naomba uongozi wa JF utafakari tena uamuzi wa kuifuta mada husika niliyoiweka hivi karibuni
Ni mada inayohusika na uhai wa watu .. Kwenye dunia hii hakuna kitu cha thamani kama...
Jengo la ghorofa ambalo linaendelea kujengwa limeshika moto majira ya Saa Sita Mchana wa leo Agosti 31, 2025 katika Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, Kariakoo, ambapo Jeshi la Polisi limefika na...
Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika.
Ni bora katiba iseme rais na...
Mbali ya usalama wa Huyu mwanaharakati je usalama wa familia yake (watoto/mke) upoje? Umma usije ukawadhuru. Tuungane kuwatambua walipo na kuwalinda na maadui