Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria.
27/09/2026
Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati
Hii inaathari gani ?
Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001...
Kwa siku kadhaa sasa, Taa za kuongozea magari zilizopo Tazara ambapo pia kuna njia ya kwenda Buruguni na Airport hazifanyi kazi, vyombo vya moto na watu wanaovuka kwa miguu wote wanapotaka kuvuka...
Habari ni takribani mwezi mmoja na nusu inakaribia miezi miwili ambapo kiongozi wa nchi alizindua Mwendokasi kutoka Mbagala hadi Morocco, lakini hadi leo hamna safari ya Mbagala hadi Morocco...
Binafsi sioni kosa la Dudu baya
Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili
Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie?
BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani?
Kuna uwezekano hadi uko...
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, wana-JF!
Asubuhi ya leo, nataka niongee na mtu mmoja ambaye moyo wake umelala. Nataka niongee na jamii ambayo imezama kwenye dharau, anasa, na kiburi, ikisahau...
JUMATATU PAMEKUCHA. 🔥
Kuna watu wameamka leo wakiwa na mipango.
Kuna wengine wameamka na madeni.
Wengine wameamka na mawazo ambayo hawawezi kumwambia mtu yeyote.
Lakini kuna jambo moja wote...
#Hali ni mbaya
Guys,hili suala la watu kusapoti ushoga waziwazi linazidi kuota mizizi, je huu ndo unaitwa "uwana harakat..?" au ni watu wako kazini kupitia NGO's zinazosapoti masuala ya ushoga...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El Nino nchini inaendelea kuimarika, huku kilele chake kikitarajiwa kufikiwa katika kipindi cha Novemba na Desemba.
Ofisa Habari wa TMA...
Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama...
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma,
Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama.
Sio sawa kusema ni Mali ya CCM...
Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira...
Wakuu, salaam.
Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya...
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo...
Ernest Sungura
Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026...
Ukifika hapo Open University Kinondoni Center Biafra Vyoo ni vichafu sana vimejaa vimeziba na majengo yake chakavu sana, mpaka unajiuliza hivi hapa kuna wasomi kweli??!! Hebu rekebisheni basi...
Tunazaliwa tukiwa ‘sisi.’ Orijino. Hatuogopi kukosea. Hatuogopi kupenda. Hatudanganyi. Hatuumizi. Tunadadisi. Tunafikiri. Tunauliza. Tunatafuta majibu.
Hata hivyo, imani kuwa ni salama kuwa...
Huyu Baba Levo anafosi apewe sababu ya kukamatwa gari ya Ommy Dimpoz.
Afisa anamuambia hizo ni taarifa za siri kati ya TRA na mteja ambaye tayari tumeshaongea naye.
Cha ajabu mbunge na akili...
Kumbe hawa watu ndio wanatuchafulia mazingira leo nimepata muda wa kuzunguka hili jiji asee mazingira yamekuwa safi sana tulivu kabisa ukipita maeneo kama stendi masokoni hali ni shwari kabisa...
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Geita, Bw. Martin Rwegoshora, amewataka wananchi kufika katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani humo ili kupata elimu...