Wakuu habari za asubuhi
Kuna ndoto nimeota zimenitisha sana naombeni msaada wenu kwa atakaezielewa.
Ndoto ya kwanza; nimeota nina chuma mfano wa bolt nakichezea mdomoni ghafla kwa bahati mbaya...
Hakuna mtanzania anaetaka serikali imlishe milo mitatu au impe hela bure, Hakuna.
Tunachosema ni kua TANZANIA ina rasilimali za kutosha kuleta ahueni kwenye maisha ya watu.
Wanachofanya...
Habari Wana JF Leo nimeamua kuwaletea Uzi unaojadili Element yenye radioactivity iitwayo polonium.
Kwa kuwa polonium ni unstable ina contain isotopes na moja ya Isotopes ni Polonium-210...
Katika nchi ya Japan wamefanikiwa kuleta uvumbuzi wa kipekee baada ya kubadili kinyesi cha Tembo kuwa karatasi. Mchakato huo umehusisha kukusanya vinyesi vya tembo, ambavyo vina nyuzinyuzi nyingi...
Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais...
Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu...
Mnamo tarehe 18 Novemba 2024 nilienda hospitali ya rufaa ya Mloganzila kumtazama shemeji yangu aliyelazwa pale na kichanga wake aliyejifungua kwa oparesheni. Nilipofika getini nilielekezwa na...
Moja kwa moja kwenye mada
Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa...
Nilisoma kutoka kwenye gazeti, dada mmoja anasimulia changamoto anazopitia katika ajira yake kama mhudumu wa meli. Alianza kazi akiwa na miaka 22 na amedumu katika ajira hii kwa miaka 10.
Kazi...
Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais wetu, mapato ya serikali yameongezeka kwa kiasi kikubwa! Kati ya Agosti 2020 na Machi 2021, tulikusanya shilingi trilioni 11.2, lakini katika kipindi kama hicho...
Wamekata matangazo ghafla. Nilikuwa nasikiliza kupitia RFA.
. Ni baada ya mtangazaji kudondoa taarifa za utekaji nchini Tanzania.
"Walinipiga risasi na kunitelekeza wakidhani nimekufa' โ mmoja wa...
Kwa wenyeji wa Dar Es Salaam Kwa miezi kadhaa sasa tumeshuhudia mabasi mapya kabisa ya Kijeshi jijini, na yana nembo kubwa imeandikwa "Tanzania Military".
Jeshi la Tanzania linafahamika kama JWTZ...
Hakika Dunia na maajabu yake kutana na jamaa mmoja toka YouTube aliweza kununua gari la buggati kwa Dola zaidi milioni $5,000,000 na kuletewa gari likiwa tupu bila Engine.
Anaitwa Virginia ni...
Hawa watoto wanashangaza Sana yaani ununue Lamborghini sijui Aston Martin mara Rolls Royce kwa barabara zipi za hapo Tungekinya kila sehemu mituta tu?
Chama kitengeneze Barabara/miundombinu ya...
salam salam,
Ni wazi hali ni ngumu halafu kila siku bei za vifurushi zimekuwa zinapanda bei mfano, Halotel kwangu mimi ndiyo nikiwa naona ni mtandao wenye gharama nafuu.
Kwa miezi fulani hapo...
Kumekuwa na suala la baadhi ya watu ambao wanajiita ni kampuni za upimaji ardhi wamekuwa wakiwarubuni Wananchi haki zao katika suala la ardhi.
Wao na Viongozi wa Vijiji wamekuwa kero na...
Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake na watu wa Aina hii uzalendo huwa unawashinda.
Ushauri wangu kwa watanzania wote mjibuni Polepole kwa hoja...