"We shetani, nakuambia bila kupepesa macho, na kila mtu asikie. Wewe ulikuwa malaika mbinguni; uliumbwa ukiwa mzuri na mwenye utukufu. Ukaanza kujiona bora zaidi ya Muumba wako. Ukadhani unaweza...
Ndugu zangu, wanajukwaa letu pendwa. Salaam!
Kila mara tunashuhudia humu mijadala mikali inayopelekea watu kurushiana maneno ya kejeli, dharau na wakati mwingine matusi. Mwisho wa yote...
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka...
Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa...
Huu msemo kwamba binadamu wote ni sawa huwa na maana gani?
Mbona kuna baadhi ya binadamu mfano Wajapan na Wazungu huwa wanafanya mambo yanaonekana kama ni viumbe kutoka sayari nyingine!
Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania
Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa
Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala
Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio...
Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo...
Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya
Wanaongoza kutia huruma na kujiona...
Shule ya sekondari Maji ya Chai iko Halmashauri ya wilaya ya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.
Tusilaumu hizi shule, mazingira wala wanafunzi, mchawi mkubwa ni walimu na viongozi wao...
Katika historia ya ulimwengu, tumeshuhudia matendo makuu yasiyoelezeka kwa akili ya kibinadamu, kama vile wagonjwa kupona, viwete kutembea, mabubu kuongea, vipofu kuona, wafu kufufuka, na bahari...
Tulioumizwa na Ukatili alioufanya kwa Kumjeruhi vibaya Mtu aliyemhisi Kutembea na Mkewe ( Mama Zai ) kwa Kumkata Sikio na Kidole kwa Kisu Kikali na Panga kisha kuviweka katika Handkerchief yake na...
Ndugu Watanzania!
Kwa moyo mzito ninapenda kuwajulisha kuwa Askofu Maximilian Machumu maarufu kwa jina la Mwanampinduzi amelazimika kuikimbia nchi kuokoa maisha yake! Ameomba mimi nifikishe...
Moja kwa moja naenda kwenye Hoja,
Watanzania tuchangamkie Fulsa Tele ambao zimejaa nchini ili Sisi wenyewe Tumiliki Uchumi
Tuache kulalamika au kubagaza wenzetu kama kina Rostam ambao...
Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making'
Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni...
Nimejiuliza ni kwa nini REDET - A University of Dar es Salaam centre for Research and Education for Democracy in Tanzania, haifanyi utafiti (survey on opinion polls) kama ilivyofanya mwaka 2020...
Habari ndugu zangu, hivi huu utaratibu wa kuwaweka kambi Wanafunzi waliyokwenye Vidato vya mitihani nani ameuleta?
Maana umekuwa ni mradi kwa baadhi ya Walimu wa Shule hasa za Serikali.
Kuna...