Isa 59:2 SUV
[2] lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia.
Dhambi siyo ya kuchukulia kawaida, ukiona mtu anachukulia...
Jamaa amakuwa akitoa madini sana humu na kutupa ilimu akhera kwa weledi mkubwa sana bila hata kututoza. Nashauri awe anatoza nyuzi zake angalau basi hata Tsh 50,000 kwa uzi mmoja.
Najua atakuwa...
Jamani, elimu halisi inatokana na self-effort, knowledge iliyopatikana kwa kujituma, siyo ile ya ‘Samia system’ inayojulikana kwa rhetoric tu. Elimu ikishapewa jina la mtu mwingine, usitegemee...
Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu.
Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100..
Sasa...
Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada
Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru
Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia
CCM na...
Nimesikitika sana watu ndo kwaaanza wanataka jiunga JF. Kuna group letu tupo watu 970 watu wameomba kujua hiyo JF ni nini. Na haraka wamejiunga baada ya kupewa VPN bure kwenye group mtu...
Na Shangazwa sana na Hawa hawasomi kitabu chao kinachopinga ushoga ?? kicha vipi wanaruhusiwa kuingia kanisani? hali yakuwa hukumu yao kwenye bibilia ni hii...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imejipanga kuendela kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu huku watumishi wakiaswa kutoa huduma kwa...
Wakuu, nipo hapa sehemu moja yaitwa Mbande ukielekea Kibaigwa ndo naandika haya niliyaona jana nilipokuwa nikimsindikiza mmoja wa marafiki zangu huko Dar JNIA.
Kuna kitu kimoja yawabidi Idara ya...
Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake.
Tukianza na...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda...
Mwanaharakati mkongwe wa haki za binadamu nchini Tanzania Bi. Kijo Bisimba amehoji namna mgombea wa CCM alivyopewa fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho huku akibainisha kwa sasa nchini...
Hii nchi yani anaweza msanii kukosea ndani ya siku hiyo mpaka wiki inakwenda ni mwendo wa media uchwara kudili na mada hiyo.
wajifunze swahili Max kuna jamaa alikufa mara 6 sasa nasikia huyu...
Ikiwa nisipotumia VPN, digital address yangu inakuwa uchi uchi TCRA wananiona eneo niliko na nafanya nini mtandaoni, then TCRA hao hao wakanilazimisha nitumie VPN ili kuzifikia baadhi ya huduma...
Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji
Utaita gongo, chang'aa , etc
Ukata?
Ulevi usio na mipaka?
Trend?
Msongo?
What happened?