Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani najiuliza ni kwamba nimefungiwa jini chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda mara dufu? Yani mpaka sasa hivi nimeshatumia elfu 17 na sijafanya anasa yoyote. Nimenuna sukari 500...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni muda wa kutosha sasa kutambua na kuamka kwa kila mtu kuwa umasikini sio mcpango Mungu bali ni mpango wa wazungu hivyo hakuna sababu ya mtu yeyote kuwa masikini au mwenye njaa au kuishi bila...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Nachanganyikiwa mnyonge ni mtu wa aina gani? Mgonjwa ama maskini? Kama mnyonge ni mgonjwa sasa hawa wagombea wanaojiita wanyonge tunachaguaje wagonjwa wasio na nguvu watutumikie? Watapata wapi...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Jeshi la Polisi limeshapata taarifa ya picha mjongeo iliyopo kushoto mwa taarifa hii inayosambaa katika mitandao ya kijamii na ufuatiliaji wa haraka na wa kina umeshaanza. Kamanda wa Polisi Mkoa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
UKIPATA Chance ya kuwatandika Tandika haswaa. Ukiona Mwanaume anazungumza peke yake bila kuomba ushauri jua anaangusha mazoe chini.
4 Reactions
5 Replies
400 Views
Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti...
20 Reactions
112 Replies
4K Views
Wakuu, Soko la Kawe linatekea kwa moto muda huu, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ambapo moto huo ulizuka majira ya saa sita usiku. Au ndio project kama ilivyokuwa kwenye moto wa Kariakoo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
3 Reactions
21 Replies
773 Views
Ni huko ukweni kwangu jtano hii wiki iliyopita wife alienda msibani wa baba yake mdogo mimi sikwenda. Huyu marehemu alikuwa na mke mmoja wa ndoa ambae wamebahatika kuzaa watoto 2 tu kisha...
8 Reactions
81 Replies
3K Views
Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini. Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika...
6 Reactions
19 Replies
898 Views
Ni siku nyingine tumeiona tukiwa wazima. sio kama tumetenda mema bali nikwa mapenzi yake maulana. Na kuna wengine walitamani kuiona siku ya leo japo kwa bahati mbaya hawakuweza kuiona. Ila wewe ni...
2 Reactions
4 Replies
254 Views
Kware ni ndege wadogo, wenye urefu wa sentimita 18 hivi na uzito upatao gramu 100. Wanazaliana katika maeneo mengi ya Asia Magharibi na Ulaya. Kwakuwa Kware ni ndege wa kuhamahama, wao huamia...
2 Reactions
21 Replies
795 Views
Hii code nilichelewa kuijua aisee, nimeaibika sana. Kuna baa moja inatwa Mazembe ipo Segerea huwa naenda kuangalia mpira mara kwa mara, sasa bhana ina wahudumu wamejazia hatari, kwa wanaoijua...
1 Reactions
18 Replies
916 Views
Kwenye Maisha hata kuwe Kuna Jambo gumu Kwa MDA gani lazima litaisha na litapita. Amini katika mchakato na Nguvu kuu (MUNGU) Kwenye haya Maisha kila mtu hupitia changamoto zake na mara nyingi...
3 Reactions
6 Replies
417 Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Mimi ni kijana Me 26 nimekulia maisha yenye furaha sana mpaka nilipofikia umri wa miaka 24 na kugundua mwili wangu haupo sawa. Yani nasumbuliwa na kiumbe aitwa...
32 Reactions
200 Replies
36K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupitishwa rasmi na Tume Huru ya Taifa ya...
1 Reactions
13 Replies
645 Views
Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi. Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…