Mungu apewe sifa

Mungu apewe sifa

Yaping Xi Laan

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,314
Reaction score
2,592
Ni siku nyingine tumeiona tukiwa wazima. sio kama tumetenda mema bali nikwa mapenzi yake maulana. Na kuna wengine walitamani kuiona siku ya leo japo kwa bahati mbaya hawakuweza kuiona. Ila wewe ni wa maana umeion siku ya leo chukuwa ata angalau sekunde moja umpe mungu shukrani.
 
Ameni.....

Ila nina swali Kwahiyo Mungu wetu anapenda kusifiwa tu kukosolewa hapendi?

Kama ndo hivyo anatofautiana nini na serkali ya ccm?
 
Ni siku nyingine tumeiona tukiwa wazima.sio kama tumetenda mema bali nikwa mapenzi yake maulana.Na kuna wengine walitamani kuiona siku ya leo japo kwa bahati mbaya hawakuweza kuiona.Ila wewe ni wa maana umeion siku ya leo chukuwa ata angalau sekunde moja umpe mungu shukrani.
Ameen🙏🙏
 
Back
Top Bottom