Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu...
Napenda kuwajulisha kuwa hali iliyotokea katika ofisi zetu mchana wa leo imesharipotiwa, na mamlaka husika zinachukua hatua stahiki. Nitaendelea kuwataarifu kwa hatua zitakazofuata.
Hali hii...
Ni familia ya Mr. Kaggi ya Masaki DSM walienda kwenye mazishi ya mama mzazi wa Mr. Kaggi huko Raskazone Tanga. Wakati wanarudi walipata ajali, alipona mke wa Mr. Kaggi na msichana wa kazi. RIP...
Habari ,
Kama wewe ni mwanaume na bado haujaoa na ni mtumiaji uliyekubuhu wa mitandao ya kijamii kama jamiiforums, twitter, facebook n.k basi unakabiliwa na upigaji punyeto uliokithiri.
Utafiti...
Wadada!tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini?
Mbona wakaka wanataka kutunyima uhuru wa kuvaa tutakavyo.
Qn:Vipi hii ikukutokea wewe shosti? au mkaka vipi uko na demu wako ikamtokea hii ?
Nani...
Kuondoa shombo la samaki au kitu chochote chenye harufu kali kama vile kitunguu thomu.
kwa kusafisha, minya dawa ya meno kidogo tu kwenye viganja vya mikono yako kasha tapakaza mikononi mpaka...
Kwanza Pole na hongera kwa kazi kubwa unazozifanya.
Najua sasa ni capitalism era, na pesa ndio prime focus ila sustainability ndio kitu kikubwa zaidi.
Unapata kazi nyingi tu sasa na unazidi...
Kuna wanapata utajiri kwa masharti ya kulala chini ,au kutovaa viatu,wengine kutafuna mabinti zao (tendo la ndoa) n.k waweza ongezea mengine
ila ni utajiri wenye mateso.
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu...
Tunaingia mwezi wa 9 ambapo kumbukumbu za shambulizi la kigaidi huko marekani zitafanyika huko manhattan kwenye zero ground. Nikaona sio mbaya kuleta picha na kumbukumbu mbalimbali za tukio...
Kuna mambo yananichanganya, mimi nlikuwa nafikiri mishipa ya mwili yote inafanana, lakini kuna baadhi ya watu naona wameni-prove wrong. Naona wako na mishipa yenye rangi ya KIJANI kama sio BLUU...
Vijana wenye ujuzi wa kutengeteneza majiko kupitia vyuma chakavu, wamesema wanaiomba Serikali kuwawezesha katika ujuzi wao na kutowatoa maeneo wanayofanyia kazi.
Vijana hao wamesema kutokana na...
Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichukue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.
- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu...
Kwenye maisha imekuwa ni kawaida japo siyo kwa wote kuona Watu hawakubali kuweka wazi au kueleza mchango wa mtu au watu fulani waliowasaidia kwenye maisha.
Inawezekana wanahofu kusema hivyo labla...
Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma nchini Italia.
Hayati Askofu Mkuu Novatus...
Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia...
Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule...