"Dira ni maono, unapokuwa na maono ambayo hayawezi kukutisha ni bora ungeacha kuota, kama taifa tumeamua kuota makubwa. Suala lingine ambalo tumeweka kwenye shabaha ni uwezo wetu wa kutumia umeme...
Katika maeneo ya kazi, viwanjani, au kwenye mikusanyiko ya watu kutoka sehemu mbalimbali, kunaweza kutokea watu ambao huanza kuzungumza lugha zao za asili tena mbele ya wenzao wengine...
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini...
Nimemsikiliza huyu mzee ameongea kwa uchungu sana na ameonyesha namna nchi inavyoendeshwa hovyo sana.
Anaeleza namna ambavyo mipango ilivyopangwa Mke wa Kikwete Salma Kikwete uchaguzi wa mwaka...
Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi
Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje
Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k...
Kutoka 21:2-6 ” Ukimnunua MTUMWA wa Kiebrania, atakutumikia muda wa miaka sita; mwaka wa saba atatoka kwako HURU bure.
3 Kwamba aliingia kwako peke yake tu, atatoka hivyo peke yake; kwamba ameoa...
Watu wa Tanga wananiacha hoi sana sijui wanashida gani hasa hawa watu aisee mimo nimewa define neshindwa kuwaelewa ni watu ambao kutaka kuwatolea laana wenzio ni dakika mbilo tu yaani mkipishana...
Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwa ajali wilayani Chemba, Dodoma.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera...
HALI si shwari katika kiwanda maarufu cha kutengeneza viberiti na karatasi cha Kibo Match Group cha mjini Moshi kutokana na hatua ya Mamlaka ya Mapato mkoani Kilimanjaro (TRA) kuyakamata magari...
Kama kweli hiyo 29.10.2025 kutakuwa na machafuko watanzania wengi watakufa kwa kukosa matibabu kwani hawana uwezo wa kujigharamia.
Ikiwa ni hivyo basi wananchi hawana budi kugomea uchaguzi hadi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa taarifa ya tukio la mauaji lililotokea mnamo tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2025 saa 12:50 jioni katika Kitongoji cha Ululu, Kijiji na Kata ya Idiwili, Wilaya ya...
Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka...
JF Ni darasa la kuelimishana
Hivi karibuni Humphrey Polepole kanyang'anywa hadhi ya kibalozi na mama yetu wa taifa SSH
Wibroad Slaa naye kuna wakati alisema na ubalozi wenu chukueni.
Je mtu...
Kesi ya jinai iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya waliokuwa wamiliki wa jengo la ghorofa la Kariakoo, jijini Dar es Salaam lililoporomoka Novemba 16.2024 imeendelea leo kwenye Mahakama ya Hakimu...
Zaidi ya wafanyabiashara 374 wa mbogamboga, wakiwemo wauza nyanya waliokuwa wakifanya biashara mbele ya Soko la Wazi la Machinga Complex jijini Dodoma, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa...
Serikali ya Austria kupitia Benki ya UniCredit imeahidi kuipatia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiasi cha Euro milioni 20 (sawa na takribani Shilingi bilioni 60) kwa ajili ya...
Kila unachojaribu kugusa ama kubadili mfumo au kuweka jambo Sawa mambo hayaendi, inataka moyo wa Subira sana sana sana wanakeraa
Alafu sasa watanzania wenyewe wamelala kabisa usingizi wa Pono...
Mitende ni miti mikubwa ya jenasi Phoenix katika familia Arecaceae. Matunda huitwa matende.
Mitende ni maarufu katika utamaduni wa Waisraeli na Waarabu. Yoh. 12:12-19 inataja matawi ya miti hiyo...
Hivi karibuni nikiwa katika peruzi mtandaoni nilikutana na picha inayoonesha pesa za Uganda zikiwa zimeandikwa kwa lugha ya kiswahili
Swali langu Je lugha ya kiswahili inatambulika kisheria...