Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini,
Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku...
Wakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?!
Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
Vijana waliopata Mafunzo ya Kijeshi katika Kikosi cha Jeshi la kujenga taifa (843KJ) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutumia vizuri matumizi ya Mitandao ya kijamii kwa faida yao na...
Serikali ya Mkoa wa Mbeya imeanza kutekeleza Mpango Maalumu wa upimaji maeneo ya Shirika la Utangazaji Tanzania TBC lililopo katika jiji la Mbeya, Utengule na Nsalala yaliyopo halmashauri ya...
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Dkt. Tulia Ackson ameelezea kuhusu Mradi wa CPA Ujenzi Hoteli ya Nyota Tano inayosimamiwa na...
Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa...
Wanabodi
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuwa wateja wanaotumia mtandao wa simu wa YAS wanakumbana na changamoto ya kupiga simu kupitia namba ya huduma kwa wateja 180.
TANESCO...
KATIKA KOSA AMBALO HUTAKIWI KUFANYA KAMA BABA NI KUOGOPA MTOTO WAKO KUPEWA SUMU NA MWANAMKE. TOTO JINGAJINGA FUKUZA. USIBABAISHWE WAPUUZI WASIOKUTII
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli!
Wewe ni...
Wiki hii gumzo mitandaoni limechochewa na hatua ya TAWA pamoja na TANAPA kumkataza kijana maarufu wa mitandaoni, Jose Mlavichwa, kuendelea kupost video zake akila vyakula vya asili kama Kenge...
Kuna Mtanzania amekamatwa somalia kwa tuhuma ya kujihusisha na kundi la Al shabaab.Amepandishwa kwenye mahakama ya kijeshi siku ya jana na endapo mahakama ikijirizisha ndugu yetu huyu huenda...
Ebu leo wanandugu njooni tuzungumze kidogo. Mara nyingi sana huwa napishana mitazamo na watu juu ya namna ya usafirishaji wa tv kubwa kuanzia inch 60 na kuendelea. Huwa nawaambia kama umeweza...
Katika jamii nyingi za Kiafrika, na hasa hapa Tanzania, mtu anaposema ana watoto wanne au watano, jamii humpongeza kwa maneno kama "Wewe ni shujaa", "Mungu amekubariki", au "Watoto ni mali."...
Wazazi, walezi na watu wote wenye familia lazima tukumbuke kitu kimoja cha msingi: watoto wetu hawatusikilizi tu, wanatuangalia. Wanachunguza kila hatua, kila maneno, na kila namna...
Habarini ndugu ?
Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ.
Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa...
Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni.
Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni...
Mwanariadha bingwa wa dunia wa Marathon mwaka 2025 Alphonce Simbu, akiwasili katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam, katika sherehe ya kupongezwa kwa kuleta Medali ya dhahabu ya...
Sitofahamu imebukaa baada ya Halmashauri kadhaa nchini watumishi kutopata mshahara ambapo serikali imelipa mishahara ya watumishi siku ya tarehe 24/09/2025 lakini mishahara mekuja na manadiliko...
Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote...