Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeendelea kusikiliza hoja za rufaa kupinga kifungo cha maisha jela walichohukumiwa Clinton Damas, maarufu Nyundo na wenzake, huku upande wa Jamhuri ukiomba...
Kwenye vikao vya Biashara wahuni wana mbinu za kuji brand, unaona mtu anakuja na Gari Kali kumbe la kukodi anatengeneza Mazingira umuone matawi😀
Hapo atapiga miwani myeusi plus suti kali, na...
Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV.
Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA.
ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari wameanza kuwa...
Katika jamii ya kuonewa huruma ni hawa Watanganyika wenzetu wanaofanya kazi ngumu ya kulinda usalama.
Hawa askari wetu wa vikosi vyetu, nao wanahitaji reforms wapate malipo na heshima kulingana...
Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-.
Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mwendokasi Hayati John Pombe Magufuli aliwahi kusema "Kwa hiyo watendaji na waliojipanga kuhudumia mradi huu, wajipange kupata faida. Kwa sababu mkopo wa bilioni...
Wapendwa, leo kuna tukio la kustaajabisha lililotokea katika nchi fulani. Tukio hilo linafanana sana na kile ambacho Biblia inatufundisha kuhusu kuja kwa Bwana Yesu Kristo. Katika nchi hiyo, kuna...
Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani
Mathayo 27:46
Na kama saa tisa, Yesu...
Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati...
YAH: OMBI NA USHAURI KUHUSU UFANISI WA OFISI ZA UMMA NA MAADILI YA WATUMISHI WA UMMA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nachukua nafasi hii kukuandikia barua ya wazi nikionesha...
Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya wazawa iliyopewa ardhi katika ufukwe wa bahari ya Oysterbay jijini Dar es Salaam alalamika kuzungushwa kupewa haki yao ya kujenga hotel ya nyota 5 ya kitalii...
Leo Septemba 26, 2025 – Umesainiwa mkataba wa ujenzi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA Africa Region) itakayojengwa katika eneo la Njedengwa...
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limesema litaendelea kushirikiana na waandishi wa habari,ikiwemo kuangalia usalama wao wanapokuwa kazini hasa kwa muda huu wa uchaguzi.
Hayo yamebainishwa na Kamanda...
Sura mbili Samia, Magufuli kwenye mikopo
Maelezo tofauti kuhusu zinavyopatikana fedha zinazotumika kujenga miradi mikubwa ya kimkakati yamekuwa yakiibua mjadala katika jamii, kuhusu ama ni za...
Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.
Nikianza na Mimi mwenyewe.
1. Mkopo wa...
Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja
TAKUKURU Tujitafakali
Polisi Tujitafakal
JWTZ Tujitafakali
Magereza Tujitafakali
Usalama wa Taifa Tujitafakali
Watanzania TUJITAfakari! wote...
Walipoanza na Mch Mwakipesile (Kikosi chsa Injili) kupigwa, kuhasiwa, kuuliwa kwa mtoto wake hakuna aliejali na kila mtu alimuona kama mchungaji mwakipesile ni kama amechanganyikiwa, Hakuna...
Hii dawa ni nouma sana inzi, mende, kunguni , mbuu na n.k ukipulizia ndani hutoona mdudu yeyote akikatiza.
Lkn pia nyoka hatoboi kwenye hii dawa hawezi kuingia ndani akisikia hii dawa akijaribu...