Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa BASATA wanasema laZima ziwe kazi...
4 Reactions
36 Replies
834 Views
Salaam wakuu, Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa, Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa? Kwanini waje na huo Mpango...
1 Reactions
1 Replies
208 Views
Wakuu, muda mrefu tumeelezwa kuwa Mkoani Singida, Wilayani Manyoni, kijiji cha Sukamahela ndipo katikati ya Tanganyika. Tumeelezwa pia kwamba ma-surveyor wa mkoloni (niliambiwa wakijerumani)...
4 Reactions
3 Replies
224 Views
Wakuu, Leo nimekuwa nikitafakari jambo moja ambalo limekuwa sehemu ya maisha yetu kila siku – simu za mkononi. Ni ukweli kwamba simu imerahisisha mawasiliano, biashara, elimu na hata huduma za...
5 Reactions
4 Replies
339 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Abdulrazack Amir Juma, amesema kuwa viongozi wa kidini, hususan waliopo kwenye jumuiya za maridhiano, mapadri, wachungaji na masheikh, wameshughulika...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Vitisho vinaendelea! Ila nao wabongo wanaendelea kuzoom kusubiri siku ifike tuone kitachotokea ============== Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo...
1 Reactions
2 Replies
218 Views
Naona anajitengenezea maslai yake binafsi huyu! Hana lolote la maana Bora aingie kwenye mafungu ya kuwasaidia waumini wake yeye ndio anahangahika kuwaga! ================= Mchungaji Nyuki...
1 Reactions
7 Replies
278 Views
Ila Tanzania kuna viongozi waajabu na vituko! Hivi mbona atujawahi kusika wafanyabiashara wengine tena wakubwa ambao wanamichezo ya kukwepa kodi wakifikishwa mahakamani? Au wananjia zao za kutoa...
1 Reactions
3 Replies
283 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Moza Ally amesema akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anasimamia huduma ya mama na mtoto kuwa bure...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI 31 MEI, 2024 UVCCM HQ Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu. Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia. Pia kupitia Maps...
20 Reactions
32 Replies
889 Views
Mnamo Septemba 14, 2025 liliripotiwa tukio la kutekwa nyara kwa Shyrose Michael Mabula [21] aliyekuwa mwanachuo mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe ndaki ya Mbeya Kitivo cha Sheria na...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
TBS wameshindwa kazi. Ni kila mtu na lwake. Pombe feki zinachanganywa na mbolea. Madawa ya hospitalini. Makemikali ya viwandani. Halafu wewe unafakamia. Miaka mitano tu mbele ya safari figo na ini...
10 Reactions
48 Replies
1K Views
Umeme umepanda ghafla na bila taarifa kwa zaidi ya asilimia 150%, na hii imefanywa kimya kimya! Kama kipindi kile walivyoongeza 500 kwenye tozo ya jengo bila taarifa, baada ya kelele wakaiondoa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Kupitia mfumo mpya wa kuomba leseni za undeshaji magari, mambo yanaonekana kuwa magumu badala ya rahisi. Unapohitaji leseni kwajili ya kuendesha magari ya abiria na mitambo inakupasa kuhudhuria...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Salamu kwanza, kuna utaratibu mpya wa kuomba leseni za udereva ambao nitaelezea kama nilivyoelekezwa, unaingia katika tovuti ta TRA kisha unajisajili kwa kutumia nambari ya utambulisho wa mlipa...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za...
4 Reactions
74 Replies
6K Views
Imekuwa ni kawaida kwa wale wateja ambao matumizi yao kwa mwezi ni chini ya 75 units kuwekwa kwenye tariff zero (yaani huyu mtu kwa takribani 9600/= anajipatia units 75); Sasa kuna wadau kama...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…