Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili...
Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido.
Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye...
Siku zinayoyoma kwa kasi kuelekea Oktoba 29, 2025.
Kuna pande mbili kuu zenye mitazamo tofauti kabisa kuhusu nini hasa kinapaswa kutokea siku hiyo. Je, itakuwa siku ya kutiki au kutikisa?
Pande...
Katika mji wa Dar es Salaam unaokua kwa kasi kubwa – kijamii na kiuchumi – changamoto ya usafiri wa umma imeendelea kuwa doa kubwa katika jitihada za kuimarisha maisha ya wakazi wake. Mradi wa...
Shalom,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo.
Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio...
Watanzania wameamka mno
Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani
Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi
Magazeti ya siasa yananunuliwa mno
Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa...
Kwa kweli sijawahi kuona raia useless kama hawa wa Kimara na viunga vyake. Yaani kila siku wanateseka na foleni, wanabebwa kama mizigo kwenye mwendokasi, lakini bado wako kimya, wakiwa wamekaa kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=Wdo4iyyC_HA
Tanzania ina kila sababu ya kujivunia kwa kuwa na vijana wa aina ya huyu Mohammed Abdalah Kassim ambae ni mtoto wa mjini na mzaliwa wa Magomeni Makuti...
Mofat imeingiza Mabasi tayari. Sijapenda yalivyo na rangi ya CCM. Hii ni Nchi ya Vyama vingi. Au aliambiwa usipopaka kijani hatukupi Tenda?
KAMPUNI ya Kitanzania ya MOFAT ambayo ilipewa mkataba...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawajulisha wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia njia za mitandao ya...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada...
Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu!
Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na...
Yer 12:1 SUV
[1] Wewe u mwenye haki, Ee BWANA, nitetapo nawe, lakini nitasema nawe katika habari ya haki. Mbona njia ya wabaya inasitawi? Mbona wote watendao hila wanakaa salama?
Jambo la...
Mahakama Kuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewahukumu kunyongwa hadi kufa Sophia Mwenda mwenye umri wa miaka 64 na mwanawe Alphonce Magombola (39) baada ya kuwatia...
Jamani rafiki zangu jilipotea nikijua nina shida kwenye app yangu hahaha na nilijua labda JF wameniblock jaman kumbe na huku mpaka VPN hahahha.
Ila fisiemu wanatangatanga jaman, kwani hamtaki...
Kwahiyo yanayosemwa ni uongo? Mbona kama huyu naye anatuletea mapicha picha tu hap!
================
“Wafanyakazi wanaokwenda kufanya kazi #Oman wanaharibu jina la Watanzania Nasral Jahadhamy...
Baraza la Ushauri la Wazee mkoani Simiyu limekemea na kuonya vikali tabia ya watu wachache na baadhi ya Wanasiasa wanaotumia mitandao ya kijamii kutoa kauli za ubaguzi, zinazoashiria uvunjifu wa...
Ni muda muafaka sasa kuanza kuzungumza siasa vijiweni, vijiwe vya kahawa, sehemu za biashara, migahawani, kwenye vyombo vya usafiri na hata kwenye mikusanyiko.
Huu upuuzi wa kuogopesha Watanzania...