Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna bank moja hapa Tanzania inaendeshwa kikabila, wahudumu wake zaidi ya asilimia 95% ni wakabila moja, wanakauli mbaya na wezi wa fedha za wateja Kila tawi lao utakalofika hapa Tanzania...
11 Reactions
96 Replies
4K Views
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka mtindo hatarishi wa matumizi ya majina ya ukoo yenye asili ya Kiarabu na Kizungu miongoni mwa Watanzania. Majina kama Mohammed Abdul, Joseph Freddy, Aisha...
0 Reactions
3 Replies
423 Views
Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya. Butiku asitake kula matapishi yake tuko...
3 Reactions
5 Replies
339 Views
Wakuu habarini za Sabato? Nazungumza direct nikiwa Kalenga na Lugalo nikilitizama Bandari ya Salama na Matukio makubwa yanayoenda kutokea siku si nyingi tangu sasa. Naona Wakuu waliogeuka ndugu...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili...
0 Reactions
10 Replies
514 Views
Sina haja ya kuelezea sana, hali ndo kama hiyo.
2 Reactions
8 Replies
443 Views
Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha...
9 Reactions
70 Replies
3K Views
Wanabodi, Mimi mwanabodi mwenzenu niko hapa Dallas, US, kuwaletea live Kongamano la Uwekezaji la DICOTA. https://www.youtube.com/live/zQscZvJPKbg?si=C9zI_6IctB9i3In- Bado nipo ughaibuni, kwenye...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu. Leo kuna list hapa ya baadhinya products zilizovunja record ya mauzo Duniani kutokea kutengenezwa hadi leo. 1. Magari - Toyota Corolla (50 M+) 2. Simu - Nokia 1100 (250 M+) 3. Game...
1 Reactions
3 Replies
301 Views
Eti wakuu, sio wanawakamata kina Mdude sijui wanaharakati mpaka mx Mello wetu mkamtishia kumpoteza sasa kajitokeza Tesha wazi wazi na zaidi ametaja mpaka alipo ni pale SAK inshort kawarahisishia...
9 Reactions
17 Replies
514 Views
Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅 Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si...
8 Reactions
57 Replies
1K Views
Vijana wenzangu tujitokeze kwa wingi Oktoba 29, angalia majuzi watu wa Kimara wamejitoa sasa hivi wanakula kiyoyozi. Lakini wapo walioshikiliwa mpaka sasa na polisi lakini ndio walioleta...
2 Reactions
4 Replies
191 Views
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria...
2 Reactions
4 Replies
602 Views
Wakuu! Habari, Karibuni ktk huu uzi kwa wapenzi wa kusoma vitabu, hapa tuta share na kujadili kitabu ulichosoma kwa kuainisha hoja ambazo zina tija kwenye maisha ya kila siku mazuri na mapungufu...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kufahamishwa eneo salama na secure la maegesho ya magari karibu na ferry. Nahitaji kusafiri kwenda Zanzibar, niache gari kwa siku 3, nitachukua wakati wa kurudi ili kuepukana...
0 Reactions
5 Replies
368 Views
"Itakuwaje Rais wa nchi anaulizwa kuhusiana na raia wake atakwenda lini peponi huyu maana yake ana maswali ambayo ya madhambi yake mwenyewe hajayamaliza anaulizwa kuhusu watu wewe ulikuwa ikulu...
1 Reactions
2 Replies
249 Views
Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa. Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana...
18 Reactions
28 Replies
1K Views
Jana Oktoba 2,,2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni na Kimara kukagua utoaji wa huduma na kuzungumza na wananchi. Akiwa Kivukoni, alikutana na...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Ukweli unaongea kidogo tu ila uongo unahitajika kurasa nyingi ili watu wakuamini.
2 Reactions
19 Replies
751 Views
Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku. Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…