Nilidhani Edward Snowden angetumika katika Mbinu alizotumia ili Wapuuzi wengine yasiwakute, ila ikawa ni Kinyume huku tukiwa na maneno ya Ujivuni kuwa NINAJIAMINI na NIMEPIKWA vyema na kwamba...
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai...
Nauliza si kwa ubaya.
Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja...
Kaka yake Polepole, Augustino Polepole ambaye alithibitisha mwamba katekwa. Lakini alikosea kuweka wazi mwamba ana chip mwilini. Sasa si hii itawafanya watekaji wa mdismembered mwili wake...
Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi.
=====================
Mgombea ubunge...
Kulingana na press ya mwisho ya slowslow anasema kuna wazee ambao walikua na misimamo ila nao washalambishwa asali, baada ya uchaguzi watasimamia maridhiano ya kitaifa ili kuhalalisha yaliyotokea...
Katika hali isiyo ya kawaida, wakazi wa Kijiji cha Chamwino Ikulu, wilayani Chamwino mkoani Dodoma, wameshangazwa na kupotea kwa mashine ya mionzi (ultrasound) yenye thamani ya zaidi ya Shilingi...
Kwa watu wengi barani Afrika, Ulaya na Amerika, neno Jumong sio kitu kigeni ilikuwa ni mfululizo wa tamthilia kutoka Korea Kusini*?, ambayo ilipata kusimulia simulizi za kifalme ndani yake ikiwa...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania Gilead Teri amesema hamasa ya wawekezaji kuwekeza nchini imeendelea kuwa kubwa hata katika kipindi ambacho nchi yetu...
Wakati kwa Tanzania ni kawaida kwa wasanii kushiriki kwenye kampeni za siasa, mwanmuziki Sat B Satura akiwa kwenye mahojiano anasema kwao Burundi hali ni tofauti! Msanii akijihusisha na siasa huo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemhakikishia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa hali ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) ipo shwari licha ya tukio dogo...
Air France imetangaza kusitisha kwa muda safari zake za moja kwa moja kati kutokea Paris kwenda Zanzibar kuanzia Machi 22 hadi Mei 25, 2025.
Taarifa hii inakuja katika kipindi ambacho wageni...
Kabla ya yote NRNE βπ½ππ½
Kuna mtu kanipa raha sana leo nataka nimtunuku, naomba anayejua namna ya kutuma fedha iwe kwa simu au online bila jina kuonekana anijulishe.
Mtumiwaji yupo Tanzania, so...
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka saba (7) anayefahamika kwa jina la Magreth Dickson mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Kalangalala, amekutwa amefariki dunia ikiwa ni siku sita...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari
https://www.youtube.com/live/X01I9hqOryk?si=VC_ED5SX6_D7M3cL
Kwa ufupi Kihongosi Amesema...
Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi...
Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA
Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua...
Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto...
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ukiwa unahutubia watu jiangushe chini puuu kama mzigo wa Kuni, Kisha muite mkuu wa majeshi mwambie siwezi tena kuendelea kuongoza maana hali...