Kuna huyu msanii anaitwa Magambo, akitumbuiza katika mkutano wa kampeni za CCM mbele ya Samia Suluhu, ameonekana akiwa kavaa suruali yenye muonekano kama ya Jeshi. Ni kosa kuvaa nguo zenye mfanano...
Yer 17:15 SUV
[15] Tazama, wao waniambia, Neno la BWANA liko wapi? Na lije, basi.
Nabii Yeremia alieleza dhihaka na mashaka aliyokutana nayo kwa watu wa Yuda, watu hawa walimkataa Mungu kwa...
Mmeona mikanda ya video ya vijana wa IFM walojirekodi? Ukisikia sodoma ndio hii sasa hiki chuo kina matatizo gani?
Kwani sasa hivi kumekuwa na wimbi la watu kujirekodi picha za uchi?
Tena...
Kwa hiyo sasa hivi jamaa atakuwa amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tu account zake zote, halafu...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hii inchi ni ngumu sana wakuu
Mimi nilitegemea wanajeshi watukomboe kumbe wanajeshi nao wanatutegemea sisi raia tena
Dah nimechoka kabisa...
Hivi ni kweli hizi tetesi na uvumi Raila na Born town wako Hoi hawawez kuinuka hata kitandani.
Ama ni story na porojo za wambea vijiweni wakishashiba na kuvimbiwa na kande?
Magonjwa Mtambuka Una...
Benki ya DCB ,Commercial Bank Plc imezindua rasmi kampeni yake mpya iitwayo “Tuko Ground na Wenyewe”, yenye lengo la kuongeza ujumuishaji wa kifedha na kuhamasisha matumizi ya huduma za kidigitali...
Yaani alikuwa kila siku anaongea kwa kuficha ficha anaacha kumwaga Kila kitu hadharani sijui alikuwa anaficha ficha nini mwisho wa siku wamemnyakua kabla hata mengine hajaongea
Kapata alichokuwa...
Unajiuliza JWTZ linasema linalinda mipaka halafu watu wanauawa kwa kasi na kutekwa kipindi hiki ni mipaka gani hiyo wanayolinda.
Baadhi ya watanzania waliojiunga na jeshi kama wakina Tesha...
Dar es Salaam. Tarehe 06 Oktoba 2025: Benki ya CRDB leo imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika katika tawi la Dar Village jijini Dar es...
Hivi hii benki imekuwaje siku hizi?
Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao.
Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01.
Acheni kucheza na hela...
Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga.
Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa...
Habarini wakuu…
Leo nataka tupige soga kuhusu hii ishu kidogo kisha tuendelee na ujenzi wa taifa.
Neno ‘haki’ lina maana ya stahili ya mtu, suala ambalo ni stahili ya mtu kupata. Na neno stahili...
Ni kwamba serikali na viongozi mlitegemea nini mnapomfunga mtanzania kutoa malalamiko yake?!
Mwanzo watanzania tulizoea wapinzani watusemee na kutuwakilisha kwa kile kinachotuumiza mioyo yetu...
Wewe watu wanasifia kila kitu unachofanya na unaona wako sawa tu.
Ukiiba wanasifia
Ukikemea wizi wanasifia
Ukikemea uuaji wanasifia
MACHAWA sio watu, si mnawaona humu. Hao hao walifurahia...
1. Acha kabisa kutumia Simu
2. Kaa mbali kabisa na Ndugu zako na Marafiki zako uliowazoea
3. Hakikisha kila Siku unahama makazi
4. Matembezi yako yawe ni ya Kimahesabu na yawe ni nyakati za...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha...
Inawezekana vipi katika hali kama hii ya sasa, mkuu wa nchi upo kimya na unaendelea na majukumu yako kama kawaida kana kwamba hakuna kinachoendelea,
Ilhali nchi ipo kwenye tension kubwa...
Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?.
Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.