Hii kampeni ya kutukana Millard Ayo matusi makubwa haitasaidia katika harakati zetu, I think we are attacking the wrong or weak person.
Huyu kijana hajawai kuongea jeuri kwa wananchi tofauti na...
IDADI kubwa ya wagonjwa wa moyo wanaotoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga, wanapata maradhi hayo kutokana na unywaji wa pombe kali uliopitiliza, wataalamu wamebaini.
Mkurugenzi...
Wakuu Nichukue nafasi hii kuwapongeza Vodacom kwa kuanzisha huduma ya Esim akiwa wa Pili baada ya airtel kutangulia Miezi kadhaa iliyopita ni hatua nzuri sana, Sasa ni wakati wa tigo na Halotel...
Ukiuza duka la vitu aisee utakayoona mpaka utasikitika ni basi TU nafanya biashara Sina namna najionea Siri nyingi..
Watoto wadogo wanavuta sigara balaa Winston na hizi Team na kunywa vinyau...
Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali...
katika vitabu vya kidini imeandikwa kila nafsi itaonja mauti
wakati huo ukifika macho yatafunga pumzi zitasimama na Ruh itaondoka kwenye mwili
lakini nini kitatokea baada ya? Roho inaenda wapi...
Ndugu zangu habari ya usiku?
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao...
Katika siku za hivi karibuni, simu za Watanzania zimefurika na ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) unaosema: “Kura yako ina thamani, kuwa sehemu ya mabadiliko unayoyataka, hakikisha unapiga kura...
Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona Watanzania wengi wakilalamika kuhusu wimbi la jumbe zinazotumwa kila siku zikiwa na ujumbe wa “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kumchagua...
Msiamini umeme wa Tanesco, wakizima nchi nzima itakuwa shida. Tutakosa live release...............
Nawashauri muwe na alternative source of electricity
Habari,
Jamii iliyostaarabika haitumii matusi na mihemko kama silaha ya mapambano dhidi ya maadui zao bali hujipanga kwa ustadi na kutafakari na kupata njia nzuri watakayotumia ili kushinda vita...
Wazee ni hazina, wazee ni risasi ya mwisho na mzee ni sehemu ya kwenda kujichukulia maarifa.
Leo kama Taifa unaona yanayoendelea, wazee wote muhimu wameteketezwa ili vijana (taifa la kesho)...
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi...
Hii siyo kwamba mtoto anaringishiwa nyonyo wakuu? Jana Ajira elfu 41, leo Mwendokasi Mbagala inaanza kubeba abiria kuna vimatukio flani hivi kama vya kupoza moto.
===
Ni rasmi mabasi yaendayo...
Vodacom kwa muda mrefu wamekuwa na tabia ya kuwaunga wateja wao na huduma ambazo wao wenyewe hawazitambua halafu wanakata makato ya kila siku. Huu ni upuuzi na wizi uliopitiliza. Mamlaka za...
https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1757859650-PAPU_Vacancies_1032107643381814476641029946369102376331757853088906.pdf
Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal...
08 September 2025
Michezani,Unguja,
Zanzibar
DR. Saleh Juma Rashid PhD Mhadhiri wa chuo kikuu cha taifa Zanzibar SUZA aliye bodi member benki ya watu wa Zanzibar PBZ akutwa amefariki baada...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi linawashikilia askari mgambo wawili kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, ikiwemo mali za raia mmoja anayeishi katika Manispaa ya Lindi.
Waliohusika ni...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi toleo la trh 19.2.2021 kampuni ya JUMIA inaonekana ilifungwa rasmi kutoa huduma nchini.
Ila week iliyopita niliwaona wapo active mtandaoni ikabidi niingie...