Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana...
Wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya kwa Msigwa watu wanajipigia kila mahali ameamua kutoa ufafanuzi kila wakati na sasa amewataka East Africa radio wawe na weledi hii ni kufuatia grafiki...
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwenye Insta story yake Msigwa maeandika "Mnaojaribu kupotosha kauli yangu nilipojibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu mada ya utekaji achane...
Mwishoni mwa Disemba tuliona matokeo mabaya sana ya leseni kwa kada ya ufamasia.
Licha ya matokeo kuwa mabaya hivyo,kuna ushahidi wa baadhi ya watu wa kada ya kati walioombwa rushwa ili wafaulu...
*Utukufu wa Afrika: Historia inasema Tohara ilianzishwa Afrika ikaigwa na Wazungu, Wayahudi na Waarabu*
Mwandishi wa kale sana aitwaye *Herodotus* katika kitabu chake alichokiandika mwaka 425...
Tunaweza kuona hali yetu ya nje kupitia muziki tunao usikiliza sio kuusikia, yaani maisha yametupa kusikiliza na kusikia. Je maisha yako yana usikiliza Muziki wa aina gani
Kuna baadhi ya nukuu za...
Ni wakati sasa mahakama za Tanzania kufanya mabadiliko ktk sheria zake ili kuwezesha hati za wito kupelekwa na kupokelewa kwa whatssapp na sms kama njia ya haraka na sahihi na yenye kupunguza...
Yule mtu alituongopea ya kwamba idd Amin Dada ni katili,mtu mbaya,jeuri na shetani alituongea sana na tunapaswa kumlaumu sana aisee Iddi Amin Dada alikuwa pan Africanist wa kweli yeye kujua au...
Waajiriwa wengi hutegemea kupata mafao yao ya kazi ikifika mwisho wa mwezi, yaani mshahara wao. Hata hivyo kuna waajiri wengine, hasa serikali ya Tanzania, huwa hawatimizi makubaliano ya kuwalipa...
Kwa miaka kadhaa matokeo ya wataalamu hawa wa dawa wamekuwa wakifanya vibaya sana katika mitihani ya leseni nadhani kuliko kada yoyote hapa nchini.
Hata hivyo wengi wamekuwa wakihoji uhalali wa...
Haina haja ya kusalimia.
Inatia hasira sana kuona watanzania hatuna la kufanya juu ya tunayofanyiwa na watawala.
Kuelekea maandamano ya tarehe 29/10/2025, nashauri yafuatayo.
1 LENGO / MALENGO...
Zoezi la uendeshaji wa Mitihani ya taaluma kwa wafamasia, fundi dawa sanifu, fundi dawa wasaidizi na watoa dawa likiendelea kwenye vituo vilivyopo katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya...
Kwenye dunia ya sasa ambayo huwezi kumtenga mwanamke katika shughuli za uzalishaji na kisiasa, nchi ya Sweden imeendelea kufanya vizuri katika suala zima la kumpa mwanamke nafasi.
Kwa mujibu wa...
Katika pitapita zangu najiuliza mbona hatuoni Mama Samia akiwa na mgombea mwingine wa Urais kutoka upinzani wakijibizana kwa Hoja... Radio, TV, Mitandao Yote ni kumtangaza mgombea Urais mmoja...
Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu.
Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini...