Wataalamu wa uchumi na siasa nisaidieni kujibu haya maswali.
1. Hivi kweli chama tawala kinautajiri wakuwanunulia makatibu na madiwani wote kata nchi nzima pikipiki.
Baiskeli kwa mabalozi au...
Habari za muda wakuu..
Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.
Soon baada ya pilika za uchaguzi...
TAARIFA YA KUTOONEKANA KWA PADRE CAMILLUS NIKATA
Kwa niaba ya wanajimbo Kuu la Songea tunapenda kutoa taarifa kwamba Mheshimiwa Padre Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea, ambaye ni Mhadhili...
- Tarimo ni ukoo mkubwa sana, maarufu sana na mashuhuri sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro. Huu ni ukoo ambao umekuwa ukoo mama kwa baadhi ya koo na ni moja kati ya koo zinapatikana...
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program...
Wengi hawapendi waonekane washamba hata ukitaka kumfundisha kitu, kumuonesha njia au kumpa maelekezo, hapo ndio huwa wanaharibu zaidi.
kusimama kushangaa shangaa vitu madukani, magorofa, n.k...
Eti Amani !! amani, amani!!! Hii Tanzania kuna amani au kisiwa cha uvumilivu??? CCM ilipo sasa, kwa udhalimu wake, imetutoa kwenye kisiwa cha amani imetupeleka kwenye kisiwa cha uvumilivu. Je sisi...
NA MWANDISHI WETU
Wakazi wa Kijiji cha Miganga wilayani Mkalama, mkoani Singida, wameishukuru Serikali kwa neema ya miradi ya uchimbaji wa visima vya Umwagiliaji na kuahidi kulinda miundombinu...
Siku zinavyozidi kuyoyoma ndipo Stori za Humphrey Polepole na kutekwa kwake zinasahaulika. Hata kabla ya Polepole watu wengi walishatekwa wengine mbele za watu kabisa akiwemo Bwana Kibao na badae...
Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali,
Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi
huwenda ni tamaduni tumeiga...
"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu:
Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia...
Leo kwa mfano Hospital zetu ukienda na mgonjwa akifariki pale hospitali kama ulikuwa unadaiwa hela ya matibabu utoi maiti pale, hivi ni sawa? kwa sababu serikali haina hela na wabunge wameacha...
KUNA MAMBO UKIYAENDEKEZA KAMA KIJANA KUTOBOA NI NGUMU.
Anaandika, Robert Ng'apos Heriel
Mtibeli
1. Kuendekeza mambo ya dini.
Kuendekeza mambo ya dini tena wachungaji wa siku hizi kufeli ni...
Miaka 60 baada ya uhuru Tanzania hatuna wasomi wakuendesha bandari zetu mpaka tusaidiwe na waarabu?
Miaka 60 baada ya uhuru bado kumiliki gari Tanzania ni anasa!
Miaka 60 baada ya uhuru kuikosoa...
Bodi ya mikopo ya wanafunzi mpaka leo hawajatoa majina ya wanafunzi waliobahatika kupata mkopo, iwe mkopo wote au sehemu ya mkopo.
Vyuo vinafunguliwa November mara baada ya uchafuzi mkuu tu Ila...
Mkwe wa Samia naona anavyoendelea kuwaada wananchi wa Rufiji
============
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mohamed Mchengerwa ameweka wazi kuwa Wananchi wa Rufiji...
Erasto mpemba alikuwa ni mzaliwa wa Lushoto mkoani Tanga, Alikuwa ni mwanafunzi ambae alikuwa na bidii katika masomo yake
Wakati yupo kidato cha tatu katika shule ya secondary Magamba ya mkoani...