Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi...
5 Reactions
17 Replies
766 Views
GT Aisee hii inafanya watu tusiwe na moyo wa kusaidiana aisee.
5 Reactions
8 Replies
475 Views
Wanafunzi wahitimu kutoka Vyuo vikuu wametakiwa kuwa mabarozi wazuri wa maadili, nidhamu na maendeeleo kwakutumia elimu na teknologia waliyoipata kuleta suluhisho kwa changamoto za jamii na siyo...
1 Reactions
9 Replies
302 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi...
2 Reactions
23 Replies
986 Views
Mapadri wa kanisa katoliki wanalipwa mshahara au posho zozote? Huwa wanapewa pesa na kanisa za kusaidia familia, ndugu au marafiki wahitaji? Wanaruhusiwa kufanya biashara binafsi? Wanaruhusiwa...
5 Reactions
26 Replies
796 Views
Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi... Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao...
1 Reactions
6 Replies
271 Views
Baada ya kutungwa stori za uongo kuwa israel inasababisha genocide hapo gaza, ukweli wa mambo umejiidhirisha wenyewe kuonesha wauaji wa raia wa kweli ni wakina nani, lakini cha ajabu dunia...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Wana Jamvi kuna Mkopo wengi wetu tulikuwa hatujui kuwa ni tatizo na ni kwa sababu ya kutokaa na kufikiria mara mbili. Nimefanya tafiti za riba kupitia watu 4 wanao chukua mikopo ya mtandao...
25 Reactions
70 Replies
8K Views
Naona waarabu wanazidi kutambana tu kwenye nchi yetu, kila kitu wanapewa wao sasa. ================= Kampuni ya Emirates National Group (ENG) yenye makao yake makuu katika Falme za Kiarabu (UAE)...
1 Reactions
8 Replies
513 Views
Wakati anapewa malalamiko ya tabia za mwanae alikuwa anaona mwanae anaonewa, unamwambia mwanao anavuta bangi huyu mama anakuja juu mnamsakama mtoto kisa hana baba Mtoto anatoroka shule anakwenda...
5 Reactions
15 Replies
554 Views
Yah: Kutesa Wapinzani na Kuwazuia Kufanya Siasa – Hatari kwa Mustakabali wa Kisiasa wa Vijana ndani ya CCM Ndugu Viongozi wa Chama, Napenda kuanza barua hii kwa heshima kubwa nikiwa kama kijana...
1 Reactions
6 Replies
385 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, limethibitisha kutokea kwa vifo vya wanaume 4 ambao miili yao imekutwa pembezoni mwa barabara ya Mapinga kuelekea Kibaha, ikiwa na majeraha usoni na miguuni huku...
7 Reactions
65 Replies
3K Views
Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, leo Oktoba 17, 2025 wamefanya matembezi ya pamoja katika maeneo mbalimbali...
1 Reactions
3 Replies
182 Views
App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua, Mara...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Watanzania waishio Marekani wameandamana hii leo kupinga vurugu na utekaji, wakishikilia mabango yenye bendera ya Tanzania
7 Reactions
26 Replies
704 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea na Upelelezi wa tukio la kupotea kwa Padre Camillus Nikata wa Jimbo kuu Songea ambaye pia ni Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania...
3 Reactions
10 Replies
635 Views
Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Jeshi la Polisi laeleza kuendelea na uchunguzi.
2 Reactions
5 Replies
330 Views
Wananchi wa mtaa wa banda Mbili kata ya Osunyai Jr Jijini Arusha wamefunga Barabara ya Sombetini Kwenda Ngusero wakitaka mamlaka zinazuhusika kuweka vivuko vya watembea kwa miguu Pamoja na kuwekwa...
5 Reactions
4 Replies
242 Views
Kuna mtu kachungulia pay roll za mwezi huu huko jijini Kabul anasema kaona wazee wa kazi wameongezewa kitu. Je ukweli ni upi kwa mnaofuatilia siasa za Afghanstani?
2 Reactions
9 Replies
396 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…