Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejikuta nawaza hivyo. Mawazo yangu yasipigwe rungu. Nieleweshwe kwa upendo! Dini mbili tu duniani, kati ya mamia ya dini zilizopo mpaka leo, Ukristo na Uislam, waumini wake wanaamini kwamba...
4 Reactions
14 Replies
637 Views
Leo Ni wiki Airtel mtandao haupatikani vzr kwenye internet Semeni Kama mnatuhujumu tuvunje line zenu
5 Reactions
16 Replies
613 Views
Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
3 Reactions
10 Replies
247 Views
Hili swala la askari wa barabarani kumpiga faini dereva haliko sawa kwani anakuwa amemhukumu dereva wakati yawezekana mahakamani angeshinda kesi. Ni vyema sasa mtu afikishwe mahakamani aitwe...
2 Reactions
6 Replies
392 Views
Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini...
4 Reactions
29 Replies
734 Views
Chukua maamuzi yako miaka ya mbele usije jilaumu. Hivi ni Vitu ambavyo vinachangia sana watu kutochukua maamuzi na kuja kustuka muda umeenda, Peer pressura ya kutaka kuishi uendane na marafiki...
3 Reactions
4 Replies
195 Views
Pac alikuwa mshairi mwenye uwezo wa ku-relate yaliyondani ya moyo yaendane na harakati za maisha ya kila siku, mwenye energy ya kutunga ideas nyingi na kudondosha rhymes kama kiwanda. Ila big...
2 Reactions
4 Replies
258 Views
Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi. So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii...
3 Reactions
13 Replies
566 Views
Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema...
6 Reactions
19 Replies
709 Views
Wakuu, Kwanza nilikua sijui kama hii jf ishafunguliwa lakini kwa VPN. Nilikua natafuta sehemu ya kuuliza maswali kama haya nakosa hii nchi haina platform kama hizi. Turudi kwene mada! Kwa...
4 Reactions
26 Replies
996 Views
Apostle Fadhili tarehe 20 Oktoba, 2025 kuna jambo kubwa litatokea ambapo unabii huu hakuna atakayeweza kuuzuia. Nilitoa nabii nyingi sana na kuna watu walisema hautotokea lakini nataka nikupe...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English Sio sawa hata kidogo...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Unaweza kuwa maarufu au mashuhuri katika mahali pa kazi. Lakini amini siku ukiachishwa kazi leo, hakuna mtu atakae wasiliana na wewe baada ya wiki kupita. Punguza umbea kazini Hacha majisifu na...
13 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu, Jeshi la Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) limeripoti kukamatwa kwa watu wawili katika eneo la Sinza, Dar es Salaam, wakihusishwa na kiwanda bubu cha kutengeneza biskuti zinazochanganywa...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao; Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu Hakuna hata siku moja utamkuta...
7 Reactions
21 Replies
688 Views
Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa, Je tutegemee watajitokeza watu muhimu dakika hizi za jioni? Maana viungo muhimu wameshadakwa dk za 70...
2 Reactions
16 Replies
457 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni, imewahukumu vijana wanne kifungo cha miaka saba jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujaribu kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo, huku...
3 Reactions
21 Replies
930 Views
"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu" "Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi" "Anataka tufuate...
19 Reactions
44 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa hapo juu, Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi. Pili...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…