Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mara tu baada ya uhuru, serikali ya Tanganyika ikafanya mapitio juu ya mishahara ya watumishi. Ikaja na uamuzi kuwa kima cha chini cha mshahara kitakuwa Tsh 150 kwa wakazi wa Dar na Tanga. 125 kwa...
4 Reactions
10 Replies
377 Views
Kimepita kipindi kirefu hatujamsikia mchungaji Josephat Gwajima na hii si kawaida yake. Kwa ukimya huu mkubwa bila shaka jamaa huenda walimbananisha haswa hivyo huenda hali yake ki afya si nzuri...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Kila mtu ana KWAO !! Hata kama umezaliwa na kukulia mjini, si vibaya kujenga nje ya mji kidogo. Ndio sehemu inayofaa zaidi Kurudi pale maisha ya ugenini yanapokushida Kuuguzwa unapoumwa...
6 Reactions
27 Replies
971 Views
Kuna dogo mmoja kiukweli ni muhuni ni level za ujambazi kabisa akitoka akirudi anarudi na simu kubwa nyingi kijiweni ni kuziuza tu elfu 50 ila hauzii mtu anaemjua ni wageni tu Siku moja kijiweni...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Hadi Kakakuona amegoma kutiki🤣🤣🤣 kasema "No Reforms?... bora nilale😂😂" ================ Mnyama adimu kuonekana, Kakakuona ameonekana akiwa na mtoto wake katika Kijiji cha Lilondo Halmashauri ya...
3 Reactions
14 Replies
650 Views
Mtemi wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili mkoani Mwanza Shaban Ramadhan amekemea vikali tabia ya baadhi ya waganga wanaojihusisha na vitendo vya ukatili, ikiwemo wale wanaopiga ramli chonganishi...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
USHUHUDA WA THEOFLIDA WA YESU : NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI. Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida...
7 Reactions
65 Replies
31K Views
Hii namba imesajiliwa kwa jina la AMINA DILUNGA, kazi Yake kutuma message za kitapeli kwamba kakosea muamala. Nilichokiona Hadi leo Kuna watu wanaamini maneno ya Hawa matapeli. Elimu za vijana...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
https://youtu.be/cqmzkrsfmc8?si=X5ZcK5UxpDchM6nz Hivi ni kwa nini serikali zetu hazijali wananchi? Hadi serikali ya kata? Hili tukio la Mbeya linaonesha madhara ya serikali kutojali wananchi...
2 Reactions
0 Replies
111 Views
Shirika Ia Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuhusu ajali ya treni ya EMU iliyokua ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma majira ya saa 2:00 asubuhi Oktoba 23, 2025 Taarifa ya TRC...
2 Reactions
13 Replies
664 Views
Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu. Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze...
1 Reactions
10 Replies
470 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameitangaza kuwa Tarehe 29 Oktoba 2025 Siku ya Jumatano kuwa ni siku ya mapumziko kwa wananchi wote wa Zanzibar...
1 Reactions
5 Replies
307 Views
Tusiwe wepesi wa kusahau, maana yale yalikuwa ni mauaji makubwa
3 Reactions
21 Replies
887 Views
Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni leo kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki Chaguo ni lenu wenyewe mchague kufa kwa kupuuzwa na Wananchi, itafikia...
1 Reactions
2 Replies
222 Views
Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki.
8 Reactions
35 Replies
918 Views
Kwa mujibu wa Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (Universal Declaration of Human Rights – UDHR) — lililopitishwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 10 Desemba, 1948 — kuna makala 30...
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Nyinyi Waislam Wanafiki Wa Tanzania Mlikuwa wapi wakati huu masheikh wanateseka kwa dhulma mliwahi kuitisha maandamano au kupiga kelele zozote za kuwaunga mkono hata huku Mtandaoni..? Kwasababu...
1 Reactions
16 Replies
506 Views
Haya mambo ni kufa kufaana! Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa! Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji...
1 Reactions
13 Replies
492 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…