Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilisikia vibaya au Ndivyo ilikuwa?. Baada ya kupewa nafasi kutoa assessment za uangalizi kwenye uchaguzi siku ya kupewa cheti cha kuchaguliwa kuwa mshindi wa uchaguzi. Kuna mama mmoja nadhani...
3 Reactions
8 Replies
482 Views
Waandishi wa habari Tanzania na reporters kujumlisha na wasanii na influencers wengine watakuwa ndiyo wanaomba na kufanya kazi cha tume ya taifa ya uchaguzi kama waalimu na watendaji
0 Reactions
3 Replies
246 Views
Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Risasi ya Nani? Na Kijana Wa Kizazi Kipya Dodoma Tanzania. Simulizi hii ni ya kubuni! Utangulizi Dodoma, jiji lililojengwa katikati ya nchi, liligeuka kuwa jukwaa la kizazi kilichochoshwa na...
0 Reactions
10 Replies
592 Views
Mwanzo maandamano yalikuwa yanaenda vizuri watu hawakufanya uharibu lakni sativa alitoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya...
16 Reactions
87 Replies
3K Views
Mpaka muda huu machawa wa mama Samuya huko Instagram nikama wamepigwa na ganzi, machawa nikama hawajui watokeje kwenye huu mtumbwi wa kibwengo walioupanda. Pongezi hawatoi Wala salamu kwa...
12 Reactions
10 Replies
510 Views
Hakuna kitu hatari kama uranium kuanzia kibailojia,kifizikia,kikemia na kivita. Swala la kusema tuanze kuwa na vinu vya nyuklia ila turudi nyuma kama uwendeshaji utakuwa ni wa serikali basi ni...
3 Reactions
11 Replies
787 Views
MC Raji Maarufu kama Shemeji wa Taifa kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram amezungumza kuhusu kuumizwa na namna uchaguzi ulivyofanyika Tanzania ambapo Mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Jw ikajifanya kuwa nyuma ya wanachi,Wananchi Vichwa vikawaka,wakajua kuwa tunaowatetezi nyuma yao,kilichokea ni MASSACRE. Maelfu ya watu wameuawa ndani ya siku Nne tu.wakati Mama na genge lake...
26 Reactions
69 Replies
3K Views
Waangalie wapi walikosea waleke bishe Kwani Chuki ya mwanzo dhidi yao imekuwa ndogo kuliko ya sasa Kwani watu wame ibiwa, Watu wamefungwa, watu wame poteza kazi, watu wame poteza wapendwa wao...
1 Reactions
2 Replies
225 Views
1. Waziri wa Elimu anastahili kuendelea. 2. Waziri wa Maji anastahili kuendelea. 3. Waziri wa Kilimo anastahili kuendelea. 4. Waziri wa Tamisemi anastahili kuendelea. 5. Waziri wa Jinsia...
2 Reactions
14 Replies
607 Views
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere Mwanachama wa kweli wa CHAUMMA anasimama kidete na kuweka wazi kuwa yeye hana dini na kimbilio lake ni mizimu kwa sababu ndiyo chimbuko lake.
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Tatizo ni kwamba, nikinunua umeme kisha nikaingiza Token, inaandika "error 77" na Token haziingii. Kwa sasa ni zaidi ya wiki tatu naongea na watoa huduma wa ngazi mbalimbali wakiniahidi kuwa...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa sasa waTanganyika sio waoga wa kifo , sio waoga wa utekaji wenu wakijinga .Na kuanzia sasa hata polisi wakijaa kwenye mfumo wa uonevu tunaruka nao. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Hapa Gen_z tunduma wakienda toe to...
6 Reactions
4 Replies
436 Views
Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe. Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano...
8 Reactions
16 Replies
921 Views
Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
Nawashukuru sana Polisi kwa kupiga mabomu na Risasi. Sasa sijui mtatutisha na nini tena. Kama Mabomu mumepiga hadi mkachoka, yakawaishia mkaanza tumia risasi.. Maji ya kuwasha tumewashwa sana...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
Kwa msiomfahamu huyu bwana ni chawa aliyekuwa akijiita Sheikh Sharifu, alikuwa ni mtu anayejifanya mjuaji sana halafu alikuwa anapenda sana kumpamba Samia hadi kutukana watu Hii ni video ya...
13 Reactions
15 Replies
1K Views
RIP kwa ndugu zetu waliopoteza Maisha. Lengo la maandamano ilikuwa ni kuzuia Uchaguzi usifanyike. NRNE imefeli. Ila Matokeo ya Uchaguzi yamezidisha hasira. Kama wanaweza wasiwe na Aibu wakaiba...
7 Reactions
7 Replies
417 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…