Watanzania ni kama tunapita kwenye tanuru la moto kutokana na makosa tuliyofanya wenyewe,
Tuliaminishwa rsis Magufuli ni mbaya sana lkn kwenye macho ya wengi alikuwa mkombozi wa wengi sasa ogopa...
Wakuu,
Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kilio chao kinaumiza kuliko hata mauwaji yenyewe
Nimelia
Mmoja anasema Samia anamaliza watoto wetu tusaidien
Ni majonzi ndugu zangu...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna kauli moja nimeisikia kutoka kwa Rais wa Tanzania Samia kauli hii imenisikitisha sana maana ni ya kitapeli na haikufaa kabisa kutolewa...
TANGAZO
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wetu LOISHORWA LEDERE SANING’O, mwenye namba ya usajili BAED/2024/0985, mwanafunzi...
Msanii Afande Sele ametoka hadharani na kumtaka Rais wa amhuri ya Muugano wa Tanzania kutumia busara, imani yake na malezi kuona ni kwa namna gani atalifariji taifa kwa kile kilichotokea katika...
Msanii wa Maigizo 'Bongo Movie' Steve Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika haya:
"Mstafuuu,....watanzania wenzangu,..kwanza kabisa tutambue sisi wote ni ndugu tumezaliwa...
Baada ya vurugu na maandamano zilizojitokeza Oktoba 29, 2025 na kusababisha shughuli mbalimbali ncini ikiwemo usafirishaji kukwama sasa shughuli zimerejea kama kawaida ambapo watalii kutoka pande...
Mji umekuwa mweupe, hakuna hata watu
Wale watu wote waliokuwa wamejaa mitaani wameenda wapi?
Natabiri uhamisho wa wakaazi wengi wa Darisalama kurudi mikoani walikotoka katika kipindi hiki, na...
Kwa maandamano ambayo wananchi wamejaribu lakini na JWTZ tulitegema kutusaidia ni kama nalo limekuwa la wanasiasa.
Kwa haya yaliyotokea umwagaji wa damu kwa raia. Sasa ni wakataki mgumu ambao...
Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja...
Asilaumiwe Rais kitakachowakomboa waTZ ni mapambano ya mafichoni dhidi ya mafisadi na viongozi wabovu siyo mitandao ya kijamii,wanaharakati au wanasiasa kwani hawa ndiyo wanaopanga kila leo kubaki...
Wahuni na mafisadi wanampago wa kuzima mtandao ili kufanya uchafuzi wao gizani, wameona kuwa mitandao itaeneza haraka mipango ya maandamano, kura fake, rushwa katika uchafuzi huo, na uonevu na...
Baada ya kutokea machafuko wanasiasa wanaosubiri kuteuliwa hawana haja ya kutoa pole kwa wafiwa au kuonyesha kuguswa kwa yaliyotokea hadi pale Rais atakapoonyesha amechukizwa na hilo
Edit: hali ilikuwa mbaya, nawaombeni radhi
Geita na Katoro zimetokea vurugu kubwa sana.
Katoro wamechoma soko la kimataifa na shule mpya za huyo mama yenu ...
Hao Wasukuma gani unaowasifia hapa...