Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama walivosema Roma haikujengwa kwa siku moja basi pia ni sahihi kwamba Roma haikuanguka kwa siku moja, ilikua ni process iliochukua muda. Na kama kawaida process yoyote inayochukua muda fulani...
7 Reactions
35 Replies
953 Views
Niende kwenye mada moja kwa moja!!. Nimekuwa moja ya wahanga wa hili Tatizo kwa muda mrefu sana Kati ya watu wanaosoma kwa mateso makubwa sana ni watu wenye ulemavu, kuanzia shule za msingi...
56 Reactions
249 Replies
7K Views
📖Mhadhara (73)✍️ Miongoni mwa mambo ambayo yanasababisha kutokuwepo kwa nidhamu, uadilifu, weledi, na ufanisi kwa wafanyakazi wa makampuni na idara mbalimbali ni kuajiri watu ambao hawakukidhi...
2 Reactions
3 Replies
459 Views
Wahitimu tunaangalia na kuitegemea serikali itaajiri. Hali ya ajira portal ilivyo kwa sasaa
0 Reactions
3 Replies
317 Views
Elimu ni maendeleo, wanafunzi 6.459 waneemeka na mikopo ya kujiendeleza kielimu katika vyuo Pia kuna bodi kubwa ya muungano HESLB, hutoa mikopo kwa wanafunzi pande zote za muungano ingawa...
1 Reactions
19 Replies
637 Views
Katika kipindi cha awamu ya tano na ya sita kuliibuka viongozi na machawa ambao kila maendeleo yaliyofanyika walikuwa wakisema kuwa kafanya Rais pasipo kumgusa mwananchi ambaye kodi yake ndio...
0 Reactions
2 Replies
200 Views
Wakuu Shishi amepost video inayoonesha sehemu yake ya biashara iliyochomwa moto siku ya maandamano na kueleza kuwa hatoacha kuitetea CCM === UJUMBE WANGU KWA TAIFA Salaam. Kwanza, nitoe pole...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni. Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa Leo ameeleza wazi kuwa bado anasikitishwa sana na Mauaji ya Januari 2001 yaliyopekekea vifo vya Watu 21. Vifo hivyo vya kusikitisha...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wengi tulizoea kuona Viongozi wa kidunia wakiwapongeza Marais wa Tanzania pale wanaposhinda chaguzi, na wengi mnakumbuka mwaka 2015 na 2020 tulishuhudia Viongozi wa kidunia wakiwemo Marais...
4 Reactions
7 Replies
555 Views
Uongozi wa kampuni ya Usangu Logistics unapenda kuwajulisha kuwa umefanya maboresho ya mfumo wa malipo ya mileage kwa madereva wote kwenye Route za Congo, Zambia na Route nyingine zote. Maboresho...
0 Reactions
4 Replies
391 Views
Ni mtazamo tuu, sio kwamba mimi M'baguzi hapana! Kwa upande wangu siwezi kua na ushkaji na watu hawa 1. Mzanzibar - hawa watu wabinafsi, Visasi, roho mbaya sana pia wabaguzi mno, hata kipindi...
2 Reactions
13 Replies
459 Views
Mimi sijawahi kufika hembu wenyeji niambieni kuna nini cha maana sana ambacho siku nikija kutembea huko nitatamani nisiondoke. Maana mimi nishazoea huku bara nikitaka kutembea napanda magari ya...
2 Reactions
15 Replies
506 Views
Ujumbe wa Askobu Vermon Fernandes kwa watanzania: "Tunapaswa kutubu mbele za Mungu aonae sirini. Uwe wazi mbele za Mungu wako. UTUBU kwa kutokuomba. Kutokusimama kwenye nafasi"
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Ni wangapi mpaka sasa tunajiuliza kama nchini Tanzania kuna wachawi kweli? Wale wanaojiita waganga kwanini wasiutumie uganga wao sasa?
1 Reactions
10 Replies
284 Views
Habari kwenu majeshi ya ulinzi na usalama nchini (Tanzania)? Tangu uchaguzi upite Leo ni siku ya 9! Lakini cha ajabu hatuoni tena mkifanya mazoezi ya utayari kwa umoja wenu mtaani...
8 Reactions
4 Replies
333 Views
Hawa ndugu zetu hivi karibuni walianza kuwabana wenzao na kuwakataza wengine kufanya kazi hii adhimu kwamba hawana Elimu na ili kufanya hii kazi lazima wao kama Tasnia waamue nani wa kuifanya...
3 Reactions
8 Replies
406 Views
Justice needs to be Seen to be Done..... Ni mengi yametendeka hivi karibuni wala hayahitaji maelezo, kuna wengi waliopoteza ndugu zao na jamaa zao (hata tukisema hao jamaa walikuwa waharifu basi...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda. Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni...
19 Reactions
41 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kukutana na video na picha zikionesha maisha ya ndugu zetu Wahadzabe wakiwa wanawinda na kutafuta chakula, huku zingine zikituonesha upekee wa lugha yao ambayo ni moja ya...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…