Mzee Mkapa Asikitishwa Sana Na Mauaji Watu 21 Januari 2001 Zanzibar

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau hamjamboni.

Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa Leo ameeleza wazi kuwa bado anasikitishwa sana na Mauaji ya Januari 2001 yaliyopekekea vifo vya Watu 21.

Vifo hivyo vya kusikitisha vilitokea Zanzibar wakati wa Utawala wa Rais Mstaafu Abeid Aman Karume.
Screenshot_20191112-120605.jpeg
 
Alidhulumu roho za RAIA aliopaswa kuwalinda

hata hivyo ''kusikitishwa" hakutoshi...yafaa aombe zile familia za hao wahanga msamaha..

na aende mwenyewe The Hague
 
Hata mwenyenzi Mungu amesikitishwa sana.
Watawala wengine bado wanaendelea kujitengenezea Maadui.
Hukumu hawaikwepi asilani
 
Damu ya mtu ni nzito sana hata akiwa kilema ama mlevi bado thamani ya mwanaadamu itabaki hapohapo,Hapo usije kuta iyo izo hali za izo roho za hao marehemu zimemkalia kwenye ubongo kila analotaka kulifanya linamkumbusha akilini mwake ameona ili mawazo yapungue ni kusema huenda roho zikatulia lakini bado roho za hao marehemu zitaendelea kumtafuna,Ukiona kiongozi anaanza kutamka matamko hayo jua ilo jambo limemkalia moyoni na huenda isirai anajikongoja kongoja
 
Wagalatia bhana wakipata Mamlaka hujisahau sana na kujiona Miamba,kujimwambafai kwiiiiiingi kumbe washamba tu.Mamlaka na madaraka yana mwisho wake ila Utu na wema hudumu siku zote.Kuua wenzio,kunyanyasa wenzio,kutesa wenzio,kudharau wenzio sababu ya madaraka ni upungufu wa hekima na busara na upungufu wa sifa za kiongozi bora pia.utajiona mwamba ukiwa mamlakani ila ukishatoka utapambana na karma peke yako huku ukiishi kwa majuto.UONGOZI NI HEKIMA NA BUSARA SIO NGUVU YA DOLA
 
Hv kwanini maraisi wa kikatoliki ni makatili sana?ona nyerere,mkapa na hata jpm kwa sasa!tatizo ni nini???
inji hii bila kuwa katili huwezi iongoza, kwa huruma huruma zake mkwere kidogo nchi imshinde, same for mzee mwinyi also, nchi ya ma-bandidu hii lazima ui endeshe ki bandidu bandidu
 
Back
Top Bottom