Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel (21) aliyeuwawa nchini Israel.
Joshua alikuwa...
Tulikua vitani, tukipigania uhuru kwa amani.
Rafiki zangu waliuawa kikatili na askari.
Mikononi mwao hawakubeba hata jiwe la kupigania,
lakini walipigwa risasi viunoni, vifuani, na hata kichwani...
Msanii wa Bongo Movie Steven Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika kuhusiana na Muenendo wa wasanii wengi kufuta picha zao wakiwa katika kampeni za Chama cha Mapinduzi...
Eeee nacheka kama mazuri
Ooo nimesahau kusalimia siku nyingi sana sijarudi toka uzi wangu uufutwe wa baba mwenye nyumba .
Leo naangalia wabunge anzia wa kuchaguliwa ,wa viti maalum
Hadi mwisho...
Itakuwa umeona video mbalimbali za sehemu mbalimbali watu wakienda kuzika wapendwa wao huku wanacheza na kuweka nyimbo za kishujaa. Hii ni tofauti sana tuliozoea misiba kuwa na vilio.
Je maumivu...
Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike...
Kuna ukweli wowote hapa wakuu hii nimekutana nayo leo kwenye comments kwenye uzi wa Buyobe
Kwamba kuna watu walikuwa wanapita hasa kwenye maeneo yaliyopoa kuwaamsha watu waingie road ila wao...
Hivi ni mimi tu ndio siwaoni hawa jamaa zetu? Tangu uchaguzi uishe sijaona kabisa polisi mwenye nguo nyeupe.
Hata kama watakuwepo, nadhani wamekuwa hadimu sana hawa ndugu zetu watoza ushuru kwa...
“Nimeona hiyo karatasi lakini inamtaja mteja wangu Askofu Josephat Gwajima nitatoa taarifa rasmi saa 11 ya kisheria na nini kinafuata lakini ni mwaka wa kuchoka sana, kuchoka mwili na kuchoka roho...
Kwa mujibu ya moja wa shuhuda aliyepo eneo la tukio, wakazi wa mbezi ya kimara,wameliamsha dude usiku huu wakidai miili ya wapendwa wao ambao mpaka sasa haijulikani ilipo.
Wakuu mtakuwa mashahidi kuanzia huko Daslam hadi huku mikoani kwenye biashara ya nyama au mabucha mengi wenye nayo ni wakurya.
Leo nimeamua kuhitimisha research yangu katika mji mdogo wa Kakola...
Nimekaa nikachunguza kwa makini nimegundua kuna kundi kubwa la wasanii linajutia kuunga mkono ccm badala ya wananchi .
Hapa sana sana nawalenga haswa wale wasanii wa low class ambao walitumika...
Ndoto za mafanikio, ajira, kipato na tamaa za kumiliki mali kwa njia za mkato vimewaponza wengi sana duniani
Vimewaponza kwa kupoteza maisha
Vimewaponza kwa kupata majeraha na makovu ya kudumu...
Wakuu
Hatimaye Wizara ya Elimu imetoa tamko rasmi kwa vijana wa vyuo kurudi masomoni
Taarifa hiyo iliyotolewa Novemba 8, 2025 kupitia mitandao ya kijamii ya wizara ya elimu Tanzania inaeleza...
Yes! Amesikika mwanasheria mkuu wa Serikali asiye na sifa stahiki akijinadi kuwa lazima Mange akamatwe, na hiyo ni mojawapo ya kazi aliyopewa na Rais aliyemteua!
Hilo la kumkamata hadharani ni...
Siku za hivi karibuni ,nimejikuta napata faraja Kila nikilitamka neno Tanganyika. Najisikia fahari sana kujitambulisha mbele za watu hususani wageni kama MTanganyika na sio mTanzania..
Inanifanya...
Wakuu natamani vyombo vyetu vya habari ujumbe huu uwafikia pia.
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV kupitia ukurasa wake wa X amevitaka vyombo vya habari haviwezi na havipaswi kujitenga na...
Jk amekuwa akielezewa kama mtu asiyehusika na ufisadi na mikataba ya madini.Hata vyombo vya habari vilinukuliwa vikisema kuwa waziri wa nishati na madini alisaini mkataba mpya pasi na rais...