Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao...
0 Reactions
6 Replies
269 Views
Hivi polisi mbona imekuwa taasisi iliyokosa hekima? Yaani unamtoa mtuhumiwa mahabusu hadi mahakamani bila kuwa na mavazi tena mbele ya hadhara na camera za waandishi Vijana walikuwa hawana nguo...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu? Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu? Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Askari Polisi saba wakiwemo watano wa kituo cha Polisi Usa Wilayani Arumeru Mkoani Arusha na wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha wamefukuzwa kazi kwa fedheha kwa kosa la kushawishi na kuomba...
55 Reactions
393 Replies
52K Views
Kuna hekima ya kiafrika inayosema: "Kama nzi hawagusii nyama, basi kuna jambo." ⚠️ Usinunue nyama ambayo hata nzi hawavutiwi nayo. Inawezekana imewekewa kemikali, imechakachuliwa au haifai kwa...
30 Reactions
50 Replies
2K Views
Mapendo Daima. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa na umri wa miaka 10 Famili yetu ilipatwa na tukio kubwa lenye kuacha historia kubwa sana. Tukio la kinyama ambalo daima tulikuwa tuna sikia tu kwa...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar amesema yuko tayari kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa na kufanya kazi na upande wa upinzani. Mwinyi ametoa matamshi hayo wakati wa hotuba yake ya kulifungua...
3 Reactions
21 Replies
679 Views
Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa...
0 Reactions
22 Replies
664 Views
Nikiona picha za gen z Kenya halafu mda huo nasikiliza Ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la kuingia rodi hiyo tarehe 29 nikikumbuka asili ya mtanzania ni uoga mpaka mtandaoni nachoka
0 Reactions
7 Replies
357 Views
Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Ni siku nyingi sana sijazungumza humu. Nimekuwa tu zangu macho kufuatilia matokeo ya uchaguzi na ghasia na fujo zilizotokana na uchaguzi huu. Jamani, Mungu awape utulivu...
25 Reactions
82 Replies
4K Views
Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam. Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
9 Reactions
92 Replies
3K Views
Sio mtu wa wanawake Sio mtu wa betting Sio mlevi Sio mvuta bangi Sio mtoka out Sio mtu dini saana Sio mtu wa kupenda starehe Sio mtu wa makundi na vishawishi Sio mtu wa kununua Malaya Sio mtu...
15 Reactions
167 Replies
4K Views
Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu! Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli. Kwenye...
2 Reactions
18 Replies
675 Views
Vijana msishindane na serikali, mtulie, fanyeni kazi mule ugali na familia zenu Siku ya maandamanlo ya tarehe 29 wengi waandamanaji walikuwa vibaka na wezi na ndl sababu wengi waliiibiwa Sasa...
0 Reactions
42 Replies
965 Views
Ubalozi wa Finland unatoa rambirambi zake za dhati kwa wote waliopoteza wapendwa wao na kwa wale walioathiriwa na matukio ya hivi karibuni baada ya uchaguzi. Katika kipindi hiki kigumu...
1 Reactions
5 Replies
259 Views
Watanzania tuna la kujifunza kutokana na matatizo tuliyopata, somo la kwanza ni kulaaniwa na Sheria kwa kuidharau na kujichukulia maamuzi Matatizo tuliyokuwa nayo Serikali pamoja na Wananchi...
5 Reactions
38 Replies
772 Views
"MIMI NASHAURI SIKU YA UHURU MWAKA HUU SERIKALI ITOE TAMKO SIKU HIYO HAKUNA MTU KUTOKA NDANI KWA USALAMA ZAIDI," Oscar Oscar Mimi ni Mjumbe tu na Mjumbe hauwawi, hivyo kama una Mihasira yako...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Mambo yakikaa fresh miezi michache ijayo namimi nitakua miongoni mwa wanajf wachache wanaoishi ulaya, kwa hakika nina furaha sana. Mambo yakitiki sidhani kama nitarudi kwenye hii ardhi...
13 Reactions
65 Replies
2K Views
Serikali mkoani Tanga imesema imeshaanza mchakato wa kufanyiakazi ahadi za Rais Samia Suluhu Hassani alizotoa wakati wa kampeni zake mkoani humo,ikiwemo ya kusaidia vijana ajira,na kujiendeleza...
1 Reactions
1 Replies
164 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…