Nimesikitishwa sana na kauli za mfululizo za Magenge ya Kijangili ya wanaojiita mashekhe au wawakilishi wa Kiislam..hiyo njia waliochagua watambue si rahisi kama kukunja miguu na kula wali wa...
Bila dini za kigeni na kishenzi tusingetawaliwa wala kupelekwa utumwani.
Bila dini hizi, tusingeumizwa na kuawa hata kuuana na kuchukiana.
Bila dini hizi, tuzingenyonywa na kuibiwa hadi majina...
Wew si ndie ulikuwa waziri wa mambo ya ndani, uliekua na dhamana juu ya ulinzi wa wananchi na utendaji kazi wa vyombo vya usalama nchini??
Sasa najua unajua mengi kuliko MTanganyika yeyote yule...
CHADEMA, ACT Wazalendo na CUF wapinga Tume ya uchunguzi aliyoiteua Rais Samia
Vyama vya CHADEMA, CUF na ACT-Wazalendo vimepinga Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi
Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa...
19 November 2025
Lusaka, Zambia
Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia
Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA)
Makamu wa Rais...
Kijana Gen Z ambaye amekuwa maarufu hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kwa kuibua kashfa nzito akijiita Habil ni Mtanzania mwenye miaka 28 na alienda Marekani akiwa mdogo.
Licha ya lafudhi...
Ndugu wanajamii wa JF,
Kwa heshima, adabu na taadhima kuu, naomba kwa unyenyekevu mkubwa nijitokeze leo kuwasihi kwa sauti ya utulivu na busara Tuitembelee Tanzania yetu.
Katika ardhi hii ya...
Naandika haya baada ya kuona Kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa na UVCCM wakijiita masheikh au wahaziri wa kiislamu,
UVCCM hao wamekua wakitoa shutuma nzito kwenda kwa Baraza la maaskofu Tanzania...
Asalam Alyekum..
Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia
TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa
Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza...
Hali yenu ipoje wandugu zangu?
Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili
Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale...
Kutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC.
Nikaamua niwafate BBC Swahili kupitia Star Tv Kila saa 3 kamili usiku. Cha ajabu hiyo habari...
Dereva bodaboda Stefano Maziku (25), mkazi wa Kitongoji cha Igwesa, Kijiji cha Iboja, Kata ya Ukune wilaya ya kipolisi Ushetu mkoani Shinyanga, amekutwa ameuawa kisha mwili wake kutelekezwa na...
Kupitia mitandao ya kijamii Joseph Mbilinyi (Sugu) amewatoa wananchi wasiwasi kuwa sio yeye aliyeonekana kwenye video katika kilichotafsiriwa kama jaribio la utekaji:
"Taarifa: Poleni sana kwa...
Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia...
Tanzania kuna shughuli nyingi sana za kufanya, niambie ni kazi gani ambayo bila ya kupepesa macho unaamini ina Laana, na unaiogopa kuifanya au kuwa muajiriwa wake?
Fungukaaaaaa!
Kabla ya yote, kwanza pita katika Thread 'Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika' kisha ndo tukae kujadili title ya uzi huu hapo juu “Nikwanini...