Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Pichani ni EXAUD GASPERY MROSO. Ni mhitimu wa LLB Chuo Kikuu Mzumbe. Ameripotiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo la chuo hicho katika eneo la BOHARI (KINGALU). Alienda Chuoni hapo...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Ni Kampuni ambayo inaongoza kwa msgs za ile pesa tuma namba hii au kukumbushwa kodi. Ni mtandao ambao matapeli wanapiga sana simu wakitaka kukutapeli mwenye line yao. Airtel ukiingizia tu pesa...
3 Reactions
5 Replies
311 Views
Hakuna kitakacho endelea ni kupotezeana muda tu Samia hataki kusema ukweli maana ni mwiko kwao Mambo yatakwama hali itakuwa ngumu zaidi na wao excuse watakayotoa wao ni kwamba mmeiharibu nchi...
2 Reactions
7 Replies
252 Views
Ushahidi:Taarifa inayothibitisha kuwa Esta luxury ni magari ya mke wa Mwigulu Mwigulu unadai mabasi sio yako na hayana majina ya mkeo, ukaenda mbali ukasema mke wako anaitwa Neema na sio Ester...
16 Reactions
43 Replies
2K Views
Moja kwa moja. Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
3 Reactions
4 Replies
247 Views
Unapohitaji msaada wa kuthibitisha Taarifa tembelea JamiiCheck.com kama anavyosisitiza Abella Bateyunga, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Bora Initiative, ili kupata Taarifa sahihi na kwa wakati.
3 Reactions
7 Replies
299 Views
Ukisikiliza mashairi ya wimbo huu ulioimbwa miaka 24 iliyopita utasema kauandika jana maana aliyotasema yote ndio yanatokea sasa nawaza kipindi kile prof Jay hakuitwa mhaini na wimbo ulipigwa bila...
1 Reactions
3 Replies
309 Views
Katika siku za hivi karibuni, mitandao ya kijamii imejaa sauti kutoka kwa Wakenya, hasa vijana, wakionesha mshikamano wa dhati na Watanzania wanaopaza sauti dhidi ya mifumo ya ukandamizaji...
8 Reactions
11 Replies
487 Views
Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye...
12 Reactions
79 Replies
3K Views
Conspiracy:,,,,, Wahaini wamekuwa wengi hukumu ya kidhalimu ikitoka si chini ya watu 200 watahukumiwa kunyongwa, Vijana innocent kupewa kesi kubwa tena asilimia kubwa wakiwa hawana hatia...
2 Reactions
18 Replies
499 Views
Sasa hivi wanachofanya serikali na uvccm ni kutuma watu wanawalipa kutengeneza ID humu Jf kwa ajili ya kupotosha na kuandika habari za uwongo Mfano mrahisi tu inatoka post inayoituhumu serikali na...
3 Reactions
4 Replies
201 Views
Mtu ametekwa baada ya kumsema kiongozi fulani au kukosoa jambo fulani. Halafu anatekwa unasema waliomteka hawajulikani. Kweli? Leo ukigombana na mtu ukamtishia maisha anakutipoti polisi na...
3 Reactions
4 Replies
317 Views
"Itakua ni ajabu muislam akawa anaunga mkono tarehe 9 eti watu wakaandamane eti wanadai haki" - amesema Sheikh Wasaa za Masheikh zinaendelea kuhusu haki na maandamano, ila wajue tu wasihusishe...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
Naandika huu ujumbe kwa uchungu mkubwa sana[emoji24] Natamani hata nitoke nje nitangazie dunia nzima inielewe!! Nimedokezwa kuwa Muhimbili pekee kulikua na maiti zaidi 5600 za watu waliopigwa...
20 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka...
39 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimesikiliza hii Voice hadi nimelia huyu mshauri wa Rais ni katili kiasi hiki?kuna mamia ya watu walipelekwa mochwari wakiwa bado hai wamejeruhiwa ili wakafie huko[emoji24] Kuna askari...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Nimeshangazwa na MZEE wetu Clemence Mwandambo anavojiachia sana, anaiponda serikali halafu mara anaenda TRA kujiandikisha mambo ya Kodi, anajisema KABISA Yuko Mbeya na watu wanajua, hao jamaa...
30 Reactions
55 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…