THURSDAY, JANUARY 10, 2013
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha maguni wakipambana na walinzi wa kiwanda hicho ambao waliwazuia wapiga picha wa l.T.V na mpiga picha wa Mtandao huu.picha...
Jamani mimi naomba kujulishwa kwamba mauaji haya ya Kikatili kwa waandishi wa habari hadi lini??!!!
Hivi majuzi zimeripotiwa habari za mauaji ya mwandishi wa Redio Kwizera iliyopo wilayani Ngara...
Nimekua nikipata hasira kali sana kuona jinsi vijana wasio na ajira wanavotapeliwa kupitia kazi zinazoombwa mtandaoni. Hivi vyombo vyetu vya kiinteligensia vinafanya nini???These are very minute...
Alikuwa msela wa kitaa ndani ya kijiji cha Ngaritati wilayani Siha .alisoma shule ya sekondari Nuru shule ikawa ngumu akaachia kidato cha pili. Akaanza kuwa mchizi wa kitaa na kunywa pombe za...
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohamed Mpinga.
JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Mamlaka mapato nchini (TRA) limeboresha mfumo wa utoaji leseni za udereva ambazo...
Awali nilidhani ushauri huu uende TCRA, lakini nimeamua kuupeleka kwa Makamba Jr kwa sababu
1. Viongozi wa kisiasa wana dhamana ya moja kwa moja kwa sisi Wananchi
2. Nahisi TCRA wana maslahi kwa...
Ni weekend ya mwisho kwa mwaka 2012, kuna threads nyingi ambazo zilianzishwa na kujadiliwa 2012, kama member wa Jf kwa haki ya kikatiba ya kufunguka bila kificho ukafunguka kuchangia, lakini kuna...
ndugu zangu katika ujenzi wa barabara ya Morogoro kwa mradi wa DART kuna vibao vyenye maandishi 'we are building for you'. kwa mtazamo wangu tafsiri yake inakuja vibaya. kwanza ni maneno ya...
Umeme ukikatika jioni huwa tunasahau mpaka kesho yake na wakiamua hata mpaka jioni tena. Jana umeme umekatika saa 10 jioni mpaka saa hizi sita kasoro hamna umeme. Wananchi hatuelewi tatizo ni nn...
Habari za uhakika zinasema kumetokea mvutano mkali baada ya kiongozi wa kanisa hilo aitwae laroya kudaiwa kuchakachua ununuzi wa bus la kwaya maarufu ya usharika huo ya uinjilist . Kanisa...
maafisa wa TCRA wakizungumza ktk kipindi cha baragumu kinachorushwa na channel 10 leo asubuhi wametanabaisha kua ile tv yenye mbwebwe nyingi na inayotumika kueneza propaganda za magamba imeshindwa...
Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama...
By Ruth Alexander
BBC News
The funeral of Ghana's John Atta Mills drew thousands
Continue reading the main story
In today's Magazine
The tourists beaten by Greek police
If used car salesman ran...
Wadau, Heri ya Mwaka Mpya, 2013.
SHULE ya Msingi Ikombe iliyopo kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa katika Kijiji cha Ikombe, kata ya Matema wilayani Kyela, Mbeya, imepatiwa msaada wa madawati 100 yenye...
kuna jamaa alikuwa anasimama kituo cha mabasi posta mpya mwaka 2011-2012 akinukuu biblia na kuitukana serikali mbona haonekani siku hizi kama kuna jamaa anapicha zake alibahatika kumpiga anaweza...
kamanda wa police mkoan mara salum msangi amethibisha kukamatwa kwa askar wawil mkoan humo kwa kufarisha mirungi kutoka mkoan mwanza kwenda mara na shehena ya madawa hayo ya kulevya kwa kutumia...
Katika majonzi na simanzi kubwa nataka kuujulisha umma kuwa fao la kujitoa limefutwa siku yeyote kuanzia sasa na mwezi february mtatangaziwa.
Poleni sana ndugu zangu mliokumbwa na hili.
Wasalaam.
Kijana aliyetajwa kwa jina moja la Susuruka amejeruhiwa kwa kuliwa nyama za sehemu ya uso wake na mwajiri wake aliyekuwa akimfanyia kazi ya kuchunga ngombe katika kijiji cha Muhange wilayani...