Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua. Watu wengi hulaminate vyeti, hati...
5 Reactions
13 Replies
552 Views
Nina rafiki yangu ni alikuwa mwajiriwa serikali (Askari) akaacha akaenda kuajiriwa sehemu nyingine(Ualimu) sasa mpaka leo wamekataa kumlipa mshahara tatizo wanasema alishawahi kuajiriwa, je kuna...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Sisi watoto wa Dar,Mabachelor Mlo wetu main ni Ugali na Mboga Ya Mayai. Na kama ilivyozoeleka Yai kiini chake ni cha Njano ila Tangia Juzi nikinunua Mayai kiini ni cha Rangi ya Chungwa (Orange) na...
4 Reactions
22 Replies
854 Views
Kuna nchi zimeweka ban viongozi mmoja wapo ni Makonda na wengine sasa wanaweza kuwa wapenzi wa nchi fulani mkadhani wanapenda kumbe wamepigwa ban. Kama hii kesi ICC inaweza kukamilika mambo mengi...
2 Reactions
2 Replies
241 Views
My people, Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahakika siri ipo kwa Muumba wetu. Haimaanishi kwamba nawe utakuja kutamba na VAT laa,namaanisha...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
3 Reactions
4 Replies
287 Views
POLE Nianze na pole kwa Watanzania wote kwa matatizo yaliyotokea October 29, 2025 VURUGU Changamoto zilizotokea ni za kibinadamu hivyo hatupaswi kulaumiana bali tunapaswa kusamehana, kunyanyuka...
-1 Reactions
24 Replies
747 Views
Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa tafiti yangu ndogo wananchi wanaitamani mabadiliko na wanaona tija ya maandamano ila wanahofia gharama zake kiuchumi na kuwaza kuwa nchi inaweza kuwekwa lockdown Kwa muda mrefu hivyo kuathiri...
1 Reactions
5 Replies
298 Views
Habarini za muda huu wanajukwaa wenzangu. Nawasalimu kwa nia njema kabisa. Naomba niongee kidogo juu ya hili suala la mwana Jf KUTORUHUSU KU-VIEW PROFILE LAKE. Hili suala kwa kweli linaumiza...
12 Reactions
75 Replies
2K Views
Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa...
0 Reactions
3 Replies
429 Views
Watuhumiwa 202 wa kesi ya uhaini waachiwa huru Dar na Arusha, 18 warudishwa rumande Watuhumiwa 198 kati ya washtakiwa 216 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya uhaini, kufuatia maandamano wakati...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Ndoto hii nilishaielezea mara kadhaa katika mitandao ya kijamii Ili nipate mawazo kwa wenye uzoefu,ila niseme sijawahi kuilewa kama niielewavyo sasa maana sasa ni kama narudia mo ie flani ya...
3 Reactions
11 Replies
559 Views
Sababu kubwa ni njaa, unafiki, uwongo, chuki, fitna, husuda, ulafi, wizi na zinaa. Hizi ndizo sababu zinazosababisha damu ya Habil kulia ardhini. Mungu yupo.
0 Reactions
1 Replies
202 Views
๐๐‘๐ˆ๐†๐„๐ƒ๐ˆ๐€ ๐Œ๐Ž๐’๐„๐’ ๐๐€๐”๐˜๐„, ๐Š๐ฎ๐ณ๐š๐ฅ๐ข๐ฐ๐š:5/7/1937 ๐Š๐ฎ๐Ÿ๐š๐ซ๐ข๐ค๐ข:6/12/2001 ๐Š๐š๐ณ๐ข: ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฃ๐ž๐ฌ๐ก๐ข ๐‰๐–๐“ โˆ†.๐๐ซ๐ข๐ ๐ž๐๐ข๐š ๐Œ๐จ๐ฌ๐ž๐ฌ ๐๐š๐ฎ๐ฒ๐ž ๐š๐ฅ๐ข๐ณ๐š๐ฅ๐ข๐ฐ๐š ๐ญ๐š๐ซ๐ž๐ก๐ž 5/7/1937 ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ฆ๐ค๐จ๐š ๐ฐ๐š ๐‹๐ข๐ง๐๐ข ๐ก๐ฎ๐ค๐จ ๐‚๐ก๐ข๐ฎ๐ญ๐š,๐๐ฒ๐š๐ง๐ ๐š๐ฆ๐š๐ซ๐š ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ฃ๐ข๐ฆ๐›๐จ ๐ฅ๐š...
0 Reactions
5 Replies
462 Views
Katika orodha ya watu wote waliokamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za makosa ya uhaini na makosa mengine kutokana na maandamano ya 29/10/25 hakuna raia wa kigeni hata mmoja katika hati ya mashtaka...
12 Reactions
9 Replies
487 Views
Gen Z, tusipoteze focus. Focus yetu ni maandamano ya 9D. Mbona kama Press za Mwigulu zinatuhamisha?? Tumeacha kuongelea 9D sasa tunamuongelea Mwigulu na press zake. Nawakumbusha Gen Z, jukumu...
8 Reactions
25 Replies
693 Views
Udini mwingi + Elimu Duni + Umaskini (Kipato kidogo )= Uzaliana kwa wingi Udini kidogo + Elimu Nzuri + Utajiri (Kipato kikubwa)= Uzaliana kwa uchache...
4 Reactions
20 Replies
995 Views
Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile. Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya...
4 Reactions
9 Replies
672 Views
Za mchana Hii kampuni kama inaongozwa na mataahira yani expired date kwenye bidhaa yao ya Mo energy huwezi isoma hata utumie darubini au microscope ya umeme. Huu uhuni wanafanya kwa ajiri ya...
4 Reactions
44 Replies
860 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ