Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa Dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa.. Wengi wamepanga kujifungia majumbani...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa...
25 Reactions
95 Replies
4K Views
Maji ni kitu chenye nguvu sana! Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa! Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu...
28 Reactions
105 Replies
4K Views
Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake...
2 Reactions
9 Replies
375 Views
Hii video hapo chini Mwanza ina trend sana leo kwenye mitandao ya kijamii. Hawa wahuni wanajifytulia tu marisasi na kuua ndugu zetu bila huruma. Kuna wauaj8 makatili sana miongoni mwetu...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya nafasi ya Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa mkoa wa kihuduma Kibamba kutokana na kutoridhishwa na...
1 Reactions
6 Replies
275 Views
Niko zangu tu hapa nikitetemeka balaa. Hule mkwara kaka yake Polex2 aliouchimba asubuhi mwamba hatanii yuko serious ukizingatia ni kanali, yuko jeshi la NATO anabusu hadi mamba tumekwisha...
20 Reactions
57 Replies
2K Views
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi. Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu...
8 Reactions
71 Replies
2K Views
Mambo machache usiyoyafahamu Kuhusu Kituo cha Kuwazuilia washitakiwa wa ICC 1. Ni jela Ndani ya jela: Jengo kuu ni gereza la Uholanzi linalofanya kazi kikamilifu, na ndani yake kuna kitengo...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta? Inampataje kwa njia gani? Na kama...
1 Reactions
98 Replies
2K Views
Ukiwa na idea hautapata shida sana ila kama hauna msingi wa umeme kabisa itachukua muda kidogo mpaka kukaa sawa, mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0615476645
4 Reactions
157 Replies
6K Views
Tahadhari ni muhimu, Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali. Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu...
45 Reactions
127 Replies
5K Views
Kuanzia mwaka 2015 ilithibitika pasi na shaka kwamba Siasa inalipa mara 10 ya Taaluma. Diwani wa darasa la saba kwa miaka 5 anapata mafao na feha nyingi kuliko mwalimu aliyehitimu Chuo kikuu...
1 Reactions
11 Replies
753 Views
Kutuhumu Jeshi la Polisi au chombo chochote cha usalama kwamba kimeiba mali au fedha, hasa bila ushahidi wa moja kwa moja, ni jambo lenye uzito mkubwa na athari kubwa. Baadhi ya athari hizo ni...
4 Reactions
132 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao...
136 Reactions
3K Replies
611K Views
Matukio mengi ya utekaji yangeweza kudhibitiwa kama raia wengi wengekuwa wanamiliki bunduki au bastola za kujilinda, wangeweza kupambana na watekaji ambao mara zote huwa wengi na wenye silaha...
2 Reactions
6 Replies
223 Views
Anaandika Roma mkatoliki. Pamoja na yanayoendelea, lakini binafsi huwa napenda sana kuumiza kichwa kuhusu #Codes & #Decodes za hii nchi!! Kuna Dots nikijaribu kuiunga inakataa!! Inavyosemekana...
4 Reactions
7 Replies
397 Views
Habarini wanajukwaa?, Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,binafsi naomba mnisaidie kujua nyie mnawezaje kuingia humu JamiiForums mkiwa ndani ya Tanzania ilhali hali ya kimtandao haijakaa sawa? Nb...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Tarehe 09 njia ni nyeupe kabisa!! Tushindwe wenyewe wallah kuingia Road Nawakumbusha bango Bango Bango Hakikisha unatoka na bango tafuta hata box kata bango Andika kwa Makapeni ukikosa Markpen...
6 Reactions
3 Replies
259 Views
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko. Baada ya kutafakari...
30 Reactions
49 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…